Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
msaada wana jf nina ka certificate kangu nikaambiwa nitume barua sehemu kwa Chief Executive Officer CC au ATT human resource manager. ndo naandikaje barua kwa mtindo huu?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF! Nimerudi kwa mara nyingine mwenzangu kuhitaji tafsiri hizi, -HAGGLE -SLUMP -PAMPA -HUMPER -TEMPER -ABIDE Shukrani za dhati kwenu!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wana lugha wenzangu Yaani nilikuwa nazurura zurua katika mtandao likanijia wazo kuna siku tulikua tukubishana kuh msemo mmoja wa kisw. wengine walisema ndo! ndo ndo si chururu na mimi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
https://www.facebook.com/photo.php?v=456768307753087&set=vb.275105389212141&type=2&theater
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Neno daladala kama nauli ya usafiri wa mabasi ya mjini lilianza kutumika mwaka gani? Chanzo chake ni nini? Neno gani llitumika kabla ya hilo?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wanachama, Tafadhali zingatia tafsiri hizi: "I gave my brother a bicycle" => "Nilimpa kaka yangu baisikeli" "My brother was given a bicycle by me." => "Kaka yangu alipewa baisikeli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukitumia ithibati sahihi fafanua uhusiano baina ya matawi mbalimbali ya sarufi
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nani anaweza kuniambia mtoto wa SIMBA kwa Kiswahili anaitwaje????
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa anaelewa matumizi na maana maneno haya Indeed,mystery, boom.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ikiwa wewe ni mwandishi wa vitabu, makala, n.k au ni mchapishaji (publisher) unayetaka kutafsiriwa maandiko kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili au kinyume chake tuwasiliane. Ni kwa gharama nafuu...
2 Reactions
0 Replies
932 Views
habariii wana jf!! kwa anayejua maana ya neno UGOKO kwa lugha ya kiingereza msaada plz
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hellow!!Guys,I would like to learn the differences in using the aforementied words if they do exist..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dawa ya mswaki au dawa ya meno ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari hongereni sana walimu wapya kwa ajira mtaani hapafai.Ndg zanguni naombeni msaada juu ya maneno yafuatayo; 1.Hotel 2.Motel 3.Cafe 4.Restaurant 5.Bar 6.Grocery Inawezekana huku mtaani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sera inayotumika kwanza ipo ndani ya sera ya utamaduni na hivyo lugha hii inakosa mawanda mapana. Urasimishwaji wa Kiswahili kama lugha ya Taifa umeongozwa na matamko ya viongozi mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Si vibaya kuendelea kukumbushana tofauti ya haya maneno, naona wengi bado wanachanganya hasa sisi watu wa mpira
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kila mke ni mwanamke lakini si kila mwanamke aweza kuwa mke
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mtu nilimwambia nina homa akanicheka sana, mnisaidie nilikosea nn maana yeye aliishia kucheka tu?
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Habari za majukumu member wote wa JF jamani naomba tafisiri ya maneno haya kwa kiswahili . Pattern .Columnist natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati nikisoma kitabu cha shule, nilikuta maneno matatu ambayo sikuweza kuyatafsiri kutumia kamusi kadhaa. Naweza kukisia maana yao, lakini naomba ufafanuzi sahihi. Lebasi (Labda ni aina ya...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Back
Top Bottom