Nadhani Professor kaikosea jamii ya wasomi wote kwani alitumia neno kuwaita waliotofauti na mawazo yake ni intarahamwe! Je yeye kama professor ni utafiti gani unaonesha kuwa CCM au kundi fulani...
Jamani naomba msaada kwa waalimu na wataalamu wa lugha ya Kiingereza. Je, ni kwa mtu ambaye ndio anaanza kujifunza lugha ya Kiingereza kwa ujumla inatakiwa mwalimu aanze na topic gani na kumalizia...
Wenyeviti wa kamati mbalimbali za Bunge Maalumu kila wawasilishapo ripoti nawasikia wakisema:'Maelezo zaidi yapo kwenye bango kitita. Bango kitita maana yake nini?
Hallo Wana JF.
Natumai humu ndani kuna linguists,watakao weza kung'amua utumiaji sahihi wa haya Maneno katika lugha hii ya Ki-Ingereza inayosadikika kuwakimbiza Mchaka-Mchaka Watanzani...
Nimuda sasa tumekuwa tuna kalilishwa kuwa lugha ya Taifa ni kiswahili,lakini kitu cha kusikitisha ni kwamba serikali yenyewe imeshindwa kukitumia kiswahili kama lugha yake ya wasiliano kati yake...
Habari za wakati huu wana jukwaa? Nina jambo linanitatiza kidogo wana jukwaa ninaomba msaada wenu ili niondoe mkanganyiko huu kichwani. Hivi kuna tofauti gani kati ya kulala na kusinzia? Nategemea...
Nikiangalia taasisi zote za Serikali na zile za binafsi wamekuwa wakitumia lugha ya kingereza kama ndiyo lugha ya taifa. ndiyo maana sikipendi kiswahili ingawa ni lugha ninayotumia. kwa sababu...
Nikiwa mtumiaji mkubwa wa usafiri wa daladala mkoani Kilimanjaro nilianza kulisikia hili neno likitumiwa sana na makondakta wa daladala. Nilisikia sana usemi huu: "Haya, panda fasta wale wa Kwa...
Kwenye redio na tv nimesikia watu wakitumia sana hili neno 'either' kwenye mazungumzo, akimaanisha 'ama.....au....' Mtu atasema hivi: "Umaskini wetu unaletwa na either uvivu wetu au kutowajibika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.