Uandishi wa official letters

mbuyula

JF-Expert Member
Feb 2, 2014
389
68
msaada wana jf nina ka certificate kangu nikaambiwa nitume barua sehemu kwa Chief Executive Officer CC au ATT human resource manager. ndo naandikaje barua kwa mtindo huu?
 
Hapana chagua lugha mojawapo kiswahili au kiingereza halafu hiyo kazi tayari umeshaikosa kwakuwa hujiamini na elimu uliyo nayo
kutumia neno kacertificate kangu tayari umeonyesha ni jinsi gani huna imani na shule yako mwenyewe.Jifunze kujiamini utaaminika
 
we mwenyewe hujui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom