Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Jamani kwa wataalam a lugha. Je, watu wa kutoka nchi hizi mbili kwa kiingereza utawaitaje? Kwa mfano sisi watanzania tunaitwa Tanzanians, je wa-Ecuador (Ecuadorians?) na wa-Niger...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumiwa sms."d,xiku hizi xtaki xtarehe,nafikiria maixha tu" nikamjibu" unanikera sana na uandishi wako' akajibu: 'd nixamehe,xitorudia tena ila nimexhazoea' hivi wadau huwa mnavumiliaje hizo...
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Wakuu wanajamii, leo nimekumbana na misamiati mingi wakati nasoma jarida fulani . Nimejifunza kwamba hata kiswahili changu huenda sio sahihi naomba msaada wa tofauti ya maneno haya:- 1. STARA vs...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bata hata umlishe mawe atahara tu!
0 Reactions
69 Replies
12K Views
Hizi ni nukuu ninazozipenda kutoka humuhumu JF: "Miafrika ndivyo tulivyo" Nyani Ngabu "Tanzania kila kitu kinawezekana isipokuwa maendeleo" Common Citizen "Watanzania ni watu wa kulalamika tu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimesikia sana neno hili likitumika sana kenya! kenyatta nilimsikia... pia leo raila nimemsikia Nini maana yake!
0 Reactions
1 Replies
18K Views
No english DICTIONARY has been able to explain the difference between the two words,"COMPLETE" and "FINISHED",some people say there is no difference between "COMPLETE" and "FINISHED" but there is...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
sina shida na Airtel au huduma zao, lakini nataka kujua kwann hawa jamaa wa mitandao wantumia maneno ya kihuni kila siku na TRA wako wap? maana ya neno bure ni nini kama sio *bila malipo*?? maana...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
nahitaji mwalim wa kunifundisha lugha ya Kifaransa muda wa jion kwa aliyeko Dar es Salaam. awe na programme ya mi kuelewa haraka, kusoma/kuandika na kuongea. Najua Kiingereza vizuri cha kusomea.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya maneno ya kisiasa Itikadi, sera, hoja na mrengo hebu tuyafafanue moja baada ya jingine!
1 Reactions
1 Replies
867 Views
1. OBHWATO MBWAGA Kwa Kijita maana yake ni HUU MTUMBWI WA NANI? 2. MANYONI kwa kisukuma maana yake ni PAPUCHI. 3. CHUNYA kwa Kisukuma maana yake ni Kuingiza Dushelele...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wandugu, Mie nnaswali moja, hivi mtu anaedhaniwa kuwa ni jambazi ni mtu wa aina gani hasa? Mtu amekutwa eneo la tukio akifanya wizi, anauawa na wananchi baadae vyombo vya habari vinaripoti...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nawaombeni msahada coz watu wengi wanasema tofauti tofauti kwamba: ngoni walipofika tanganyika kiongozi wao alikuwa nani?? Na nikwann walitoka south afrika? Na ilikuwa mwaka gani??
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bonjour, Please use this thread to chit chat in french. All members who attend Russian Roulette's French lessons for beginners are free to practice here. Merci
5 Reactions
52 Replies
7K Views
pole na hongera kwa mapumuzizo ya jumamosi wana JF naomba wenye kujua maana halisi ya neno hili seminari anijuze asnte sana kwa michango itakayotolewa
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Habari ndugu zangu! Mimi huwa nakubali mara nyingine tunaweza kuchanganya kiswahili na kiingeereza lakini kidogo tutumie jitihada neno BORE kulitamka sio BORE ni kama kutamka BOA sasa inakuaje...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
naombeni mnifahamishe ulinganifu uliopo kati ya kamusi la kiswahili fasahaa dhidi kamusi la kiswahili sanifu kwa maendeleo ya kiswahili.natanguriza shukrani kwenu,
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Maneno
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tu as le Lyrics de cet chanson "FATIMATA" par Sam Mangwana? Donne-le pour moi S.T.P elle m'a fait tourner la tête à cause de sa beauté elle a un corps pete pete elle a un...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom