Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari ndugu zangu! Mimi huwa nakubali mara nyingine tunaweza kuchanganya kiswahili na kiingeereza lakini kidogo tutumie jitihada neno BORE kulitamka sio BORE ni kama kutamka BOA sasa inakuaje...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
naombeni mnifahamishe ulinganifu uliopo kati ya kamusi la kiswahili fasahaa dhidi kamusi la kiswahili sanifu kwa maendeleo ya kiswahili.natanguriza shukrani kwenu,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maneno
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tu as le Lyrics de cet chanson "FATIMATA" par Sam Mangwana? Donne-le pour moi S.T.P elle m'a fait tourner la tête à cause de sa beauté elle a un corps pete pete elle a un...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Huwa ninashangazwa na jambo moja, wenzetu wanaoishi ughaibuni (DIASPORA) wakikaa sana (3yrs+) aghalabu hurudi na lafudhi (accent) ya huko, ninashangaa zaidi mtu akiishi mfano Marekani anarudi na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
nisaidieni kuipeleka hiyo sentensi kwenye kingereza
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Utakuta mtu anazungumza mara unasikia " hiyo ni nanilii" au huyo atakuwa ni naniliu.." Hii ni sawa? na inatokana na nini?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Itabidi wadahaliane (msianze kunirushia madongo..hili neno nimelitunga mwenyewe nikimaanisha wa debate). Mdahalo ni noun, kwa kiingereza debate ni noun na verb. Sasa verb ya mdahalo kwa kiswahili...
0 Reactions
20 Replies
21K Views
Episode kwa kiswahili ni nini? naomba msaada
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hivi ipi ni sentensi sahihi kati ya: 'Naomba unipigie nyimbo ya Madee na Naomba nipigie wimbo wa Madee? Wafunzi wananikera sana. Msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna rafik yangu hajui kiswahili ameingia Tanzania leo kuja kutalii, ametoka marekani akaenda kwanza Entebe Uganda, kisha Nairobi Kenya leo kafika Dar. sasa kanipigia simu ananiuliza nimwambie...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Kitu yakuchekesha ni vile kudharau mtu ni mbaya lakini kukuwa na dharma ni kupoa? Tena kumpokea mtu karama! Nielezee jamaan!
0 Reactions
2 Replies
738 Views
Mara nyingi kwenye vikao vya bunge utawasikia wale waheshimiwa sana wakisema ama 1:naunga hoja mkono au 2:naunga mkono hoja Mojawapo si sahihi au pengine zote
0 Reactions
0 Replies
749 Views
1. The hand enters inside the anus must come out with unpleasant odour-either bad smell or feaces. 2. What an old man can see sitting, a young man cannot see standing. 3. The enemy is in the...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Ivi ni sahihi kusema niko njiani naelekea zanzibar? Am on my way to zanzibar au uko kwenye boti ukielekea zanzibar au kwenye ndege ukielekea zanzibar? Msaada kidogo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taja maneno matano (5) ya kiingereza yasiyo kuwa na vowels, yaani yanatumia Consonants tupu.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Je, kuna kitabu kilichoandikwa kuhusu elimu ya mantilki (logic) kwa Kiswahili? Au kuna istilahi za mantiki zilizokusanywa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anajua maana ya wimbo wa Mpoto wa WAITE naomba uhakiki wake..
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya maneno mawili yananitatanisha sana hasa kwa matumizi yake wana jamii tusaidiane katika hili: Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wanajamvi ningeomba maana ama tafsiri sahihi ya neno - "kupunga pepo'',
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom