Ze burner
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 514
- 83
Habari zenu wana lugha wenzangu
Yaani nilikuwa nazurura zurua katika mtandao likanijia wazo kuna siku tulikua tukubishana kuh msemo mmoja wa kisw. wengine walisema ndo! ndo ndo si chururu na mimi niling'ang'ana kuwa ni chururu si ndo ndo ndo ikabidi nianze kubrowse. bahati nzuri nikaupata kumbe mimi ndo nilikuwa sawa sawiya. kilichonifurahisha ni hiyo web ambayo imehifadhi misemo hiyo inaitwa www.swahiliproverb.com ya chuo kimoja marekani katika kitengo cha African studies na sikuweza kuupata katika web yoyote ya watz. nikajiuliza hivi ndo tumeshindwa kukienzi kisw au ndo tumewakasimia madaraka watusaidie?
Au ndo tunasubiri waseme KISW kilianzia marekani ndo tuanze kupiga kelele kama ilivyo kwa mlima kilimanjaro?.
Tunapaswa kuliangalia suala hili kwa upana.
Ahsanteni.