Wakati nikisoma kitabu cha shule, nilikuta maneno matatu ambayo sikuweza kuyatafsiri kutumia kamusi kadhaa. Naweza kukisia maana yao, lakini naomba ufafanuzi sahihi.
Lebasi (Labda ni aina ya...
Habari zenu wana jf,nimepewa swali binafsi linalotaka niandike insha isiyopungua kurasa mbili nieleze kuhusu ushairi wa kiswahili na nihitimishe kwa kutunga beti mbili za mashairi.Naomba msaada...
Naomba tafsiri ya sentensi hii:
Some churches are no longer places of worship, instead they have become places of entertainment (in order to attract people).
Hasa napenda kujua tafsiri ya neno...
Kupitia shira la habari la BBC SWAHILI juzi .. niliona Kiswahili kimekua Lugha ya nne kutumika na wati kutoa maoni yao kwnye mitandao ya kijamii hususani Tweeter .
Ikiwa ya kwanza ni Kiingereza ...
Kwa nini watu wengi wanaandika majina yao kwa kutumia herufi mbili kwa mf. Zitto na Sio Zito, ao Wassira na Wasira? hiyo "ss" au "tt" inatamkwaje? kwa maana "s" au "t" inaeleweka inavyotamkwa...
Kenya kuna gazeti moja tu la Kiswahili litazame hapa.
Tanzania na Kenya ndio nchi pekee za Afrika Mashariki ambazo zinaongoza kwa kuzungumza sana lugha ya Kiswahili tofauti na...
Hikiwemo au ikiwemo?
Kufuata au kufata?
Ujaamua au ujahamua?
Taasisi au Tahasisi?
Hivyo au hivo ?
Aliipata au alihipata?
Ataweka au hataweka?
Ambako au ambapo?
Anasa au hanasa
Taharifa au taarifa...
samahani wadau,poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale,tafadhali sana sana naomba kujua kwa maelezo ya kina tofauti ya maneno haya na jinsi yanavyotumika;prostitution,fornication na adultery.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.