Kunenepa naku Nawili.

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
464
Kiswahili kina changamoto usipo jifunza kila siku utashangaa hata wewe mzawa kina kushinda.

Kuna utofauti gani kati ya meneno haya .

Kunenepa naku nawili.

Karibu!
 
Kunawili ni kuongezeka kwa nuru nzuri katika muonekano wako bila kujali ongezeko katika ubo lako kiupana na kimo na kunenepa ni kuongezeka muonekano wa umbo lako kiupana
 
Back
Top Bottom