Lipi sahihi kati ya haya.....

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
464
1. Mtu yoyote

Au

2. Mtu yeyote


Kiswahili kina changamoto tusaidiane.
 
Mtu yeyote ni sahihi.Kwa sababu yeyote inatumika katika mtu/mnyama na wakati yoyote inatumika katika vitu/hali n.k
 
Back
Top Bottom