Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Mahmood

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
7,908
2,478
The 6 most spoken language in Africa

1458649830023.jpg


1) Kiarabu 200 Million
2) Kiingereza 150 Million
3) Kiswahili 140 Million
4) Kifaransa 115 Milliion
5) Hausa 50 Million
6) Amrik 25 Milion
 
mkuu mbona unajikanganya.. kiswaili siyo lugha ya asili !! kiswahili ni lugha CHOTARA !!!
Mahmood hebu fafanua..
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, Taftari, karatasi, mijadala, lugha, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, Swahili, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka mtachoka kuyasoma).

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
 
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, wizara, waziri, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu
Ila Kiswahili ndio MADE IN AFRIKA. Hii mdo lugha yetu waafrika inayotumika sana.
 
Hizi takwimu zina walakini; labda kama kuna vigezo ambavyo havijatajwa hapa vimetumika kuandaa takwimu hizi. Mfano, Amharic ni lugha kuu inayotumiwa katika Ethiopia, Eriteria na majirani wachache wa maeneo hayo. Iweje iwe na watumiaji 25m tu wakati Ethiopia kama nchi ina watu wasiopungua 80m?
 
Back
Top Bottom