MAKALA YA MAMA MARIA NYERERE KUTIMIZA MIAKA 93 NA MAKOSA NDANI YA MAKALA
Kuna makala imewekwa mtandaoni kuhusu Mama Maria Nyerere kutimiza miaka 93 hii leo.
Makala hii imesheheni mengi katika...
EDWIN MTEI alizaliwa jumanne 12.7.1932 siku hiyo mama yake Akiwa mjamzito akiambatana na jirani yake waliamka asubuhi Sana na kwenda kwenye shamba la mahindi na maharage lililokua km 8 kutoka...
DOSSA AZIZ KATIKA WAKATI WAKE KUKIMBILIA KUUNDA TANU 1950
Tulikuwa tumekaa barazani kwa Dossa Aziz nyumbani kwake Mlandizi nyakati za asubuhi kama saa nne mimi, Ally Sykes na mama mmoja Mmarekani...
GARI LA DOSSA AZIZ ALIYOMPA JULIUS KAMBARAGE NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU
Ilikuwa mwaka wa 1946 Ally Sykes akiwa katika meli iliyokuwa inawarudisha askari Waafrika kutoka Vita Vya Pili Vya...
HISTORIA YA JONAS MALHEIRO SAVIMBI AGOSTI 3,1934 - FEBRUARI 22,2002
Jonas Malheiro Savimbi ni moja ya Wanasiasa na Wapigania Uhuru katika moja ya mataifa yaliyopo kusini mwa Afrika yaani...
CASSIUS CLAY 1964
Hii picha ilikuwa maarufu sana miaka ya 1960. Ilipigwa siku Cassius Clay alipomshinda Sony Liston na kuchukua mkanda wa uzito wa juu wa masumbwi.
Kwangu mimi picha hii...
PETER TOSH, ALIKUWA MTU WA KUUAWA TU(a man who must be killed), KWA SABABU ALIKUWA MTU NA NUSU, HAKUWA MTU WA KAWAIDA
Bunny Wailer amnyooshea kidole mjane wa Bob Marley, Rita Marley.
Ulikuwa ni...
HAYA NDIYO MAKOBAZI
Makobazi ni viatu vinavyovyaliwa kwa wingi na watu wa Pwani ya Afrika ya Mashariki.
Hivi ni viatu wanavyovaa wanaume.
Juu ataweka kofia pengine ya ya mkono.
Itafata kanzu...
Maqam Ibrāhīm ni 'kikanyagio cha Nabii Ibrahim' ni jiwe dogo la mraba lililohusishwa na Ibrahim, Ismail (Ishmaeli) na ujenzi wao wa Al-Kaaba ambapo sasa ni Msikiti Mkuu wa Mecca katika eneo la...
Naomba niwapatie ukweli ninaoujua kwa kutafiti na kufuatilia kuhusu uwepo wa Wakurya wengi jeshini na madai kwamba Nyerere aliwapeleka jeshini
Kwanza niseme hivi, ni kweli kwamba Wakurya ni...
Wakati wa vita ya Kagera, Brigedia namba 207 ambayo ndiyo hasa ilikuwa ya kwanza kuusogelea mstari wa adui, iliongozwa na Meja Jenerali John Butler Walden.
Kwa usiku mitatu, Walden alipita katika...
Jina lake halisi ni (Sultan Haji Hassanal Bolkiah Mu'izzaddin Waddaulah ibni Al-Marhum Sultan Haji Omar Ali Saifuddien Sa'adul Khairi Waddien Sultan and Yang di-Pertuan) wa Brunei taifa lilopo...
SALUM ABDALLAH NA CUBAN MARIMBA CHACHA BAND
Kuna wakati huwa kuna mambo nayajua lakini huogopo kueleza kwa hofu kuwa wasije watu wakaniita muongo.
Naogopa wataniita muongo kwa sababu...
AMOS KISENGE APEWA BARABARA
Amos Kisenge amepewa barabara kwa kutambua mchango wake katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Bahati mbaya hapo nilipokuta picha hii haikuelezwa Barabara ya Amos...
1995
Benjamin William Mkapa anachukua fomu ya kugombea Urais, gazeti moja kwa kebehi likaandika "Mkapa naye achukua fomu."
Hili neno "Naye" kwa sisi wana fasihi tuliona ni dongo, maana kipindi...
Naitafsiri kidogo Ile posting ya JF ya Jager Master ya Dec, 2011.
Hii makala ya 2001, imeandikwa na kachero Wayne Madsen. Anasema Marekani Wana kambi Cyangugu, Rwanda karibu na mpaka wa Congo...
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI/SIKU YA WANAWAKE TANZANIA
Picha hiyo hapo chini nniliipata kwa Jim Bailey aliyekuwa akimilika gazeti la DRUM.
Picha hii haikuwapo kabla ya mimi kuipata na kuiweka...
Ni wachache sana kukuta mtu anaeleza vita vilivotokea kwenye taifa moja kwa jina Macedonia.
Vita hivi vilianza 1991-2001.
Mwendelezo wa vita hii ni sababu za ethnic conflict kujikuta taifa...
Taarab ina historia ndefu katika muziki wa Tanzania kama ulivyokuwa muziki wa dansi. Wapenzi wa taarbu wa zamani waliiweka taarabu katika vyanzo kama Taarab ya Tanga, Taarab ya Dar es...