Jukwaa la Historia

Mwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu. Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Ninawi ni mji mkongwe na uliokuwa maarufu zaidi miaka ya Yona, mji huu unapatikana katika nchi ya Syria karibu kabisa na mji unaoitwa Mosul uliopo Iraq. Ninawi ulikuwa mji muhimu sana kwa sababu...
13 Reactions
39 Replies
22K Views
Kushoto ni Brian Wills kutoka Conservative Party ya Uingereza akisimamia uchaguzi wa UTP huyo pembeni yake ni Sheikh Hussein Juma aliyekuwa Makamu wa Rais wa UTP.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA MWALIMU NYERERE WIZARA ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na wadau imeandaa na kuzindua programu ya Maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa Baba wa Taifa...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
SHEIKH ALHAD OMAR MWALIMU WA QUR'AN ALIYEWAFUATA WANAFUNZI BADALA YA WANAFUNZI KUMFUATA MWALIMU Jana asubuhi na mapema hata hapaja pambazuka vyema Tawfik Kazaliwa mmoja wa vijana wa marehemu...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanabodi, Huu ni utambulisho wa kipindi maalum cha Kumbukumbu ya Kifo cha Hayati Abedi Amani Karume, uliofanywa na Mtangazaji Festos Makerubi wa TBC-1 akiwa mjini Zanzibar. Kuna makosa ambayo...
6 Reactions
39 Replies
11K Views
Mganda kiongozi wa kikosi cha Mapinduzi ya Zanzibar. Wakati anampindua Mwarabu, Hayati Karume alikuwa Tanganyika amejificha. Okello aliongoza mapinduzi na akatangaza baraza la mapinduzi kisha...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, nawasalim woote! Jana usiku (March 08) katika kuangalia angalia updates za WhatsApp status nilistaajabu baada ya kukutana na video inayomuonesha (SAMAKI MTU) akiwa ufukweni na watu...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
UMUHIMU WA ALLY MSHAM JINA LAKE KUPEWA MTAA ALIOISHI Majina mengi ya mitaa imebadilishwa Dar es Salaam kwa sababu ya kuweka kumbukumbu za wapigania uhuru. Pugu Road imebadilishwa jina na kuitwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Dunia imekuwa ikitawaliwa na viongozi wengi walio makatili na wanyama sana mfano.ukiachana na Hitler(1889-1945) kuna 1. Joseph Stalin(1878-1953) 2. Pol Pot (1925-1998) 3. Saddam Hussein...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Wakati wa Uhai wake, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kuishi katika nyumba hii ikiwa ni baada ya kurejea nchini akitokea masomoni nchin Uingereza. Huko alihitimu masomo yake na...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Ukifika mji mkuu wa italy Rome kuna jengo maarufu liko kama uwanja wa mpira linaitwa colloseum. Jengo hilo lilijengwa AD 70-80 kama miaka 1940 hivi iliyopita. Maana yake ni kwamba baada ya...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Wanabodi, Nimeikuta hii humu jf kwenye mjadala fulani hebu jisomee mwenyewe!. Kwa mara ya kwanza Sheikh Abeid Karume alifunga ndoa na Bibi Pili binti Ahmed Ambari mwanzoni mwa miaka ya...
3 Reactions
65 Replies
26K Views
KAULIZA MUULIZAJI NANI SHEIKH BADI? Sheikh Muhammad Yusuf Badi alikuwa sheikh maarufu Lindi na sehemu yote ya Jimbo la Kusini, yaani Southern Province. TANU iliasisiwa Lindi mwaka wa 1955 tayari...
2 Reactions
2 Replies
694 Views
Frank and His Sisters LP The world’s first collection of gorgeous pop songs from Frank and His Sisters, a family band from Moshi, Tanzania. Formed in the early 1950s by Frank Humplick, Thecla...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nikikumbuka hii Movement huwa numia sana, ni bahati Mbaya sana Watanzania sisi hatuamini kwenye umoja na hii ndo changamoto kubwa sana inayo tukumbuka. Hii movement ilikuwa na nguvu sana sema...
2 Reactions
16 Replies
671 Views
History ya nchi zetu inashangaza sana. Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri. Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na...
17 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kwa uchache nataka niwape historia fupi ya watu ambao ni katili na bado historia zao zinakumbukwa mpaka leo. Dunia imewahi kukaliwa na watu mbali mbali. Wapo wanaozungumzwa kwa...
4 Reactions
61 Replies
12K Views
Back
Top Bottom