Jukwaa la Historia

On JF:

Nilikuwa nasoma kitabu Desturi za Wachagga, by S. J. Ntiro, 1953. Jisomee mwenyewe. MLANGO WA 5 ASILI YA WACHAGGA Wachagga ni kabila lenye mchanganyiko wa makabila mengi sana. Makabila haya...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Malcom x alikua anatuchanganya sisi wabantu.Haiwezekani unatuambia tuachane na tamaduni za kizungu na tuache dini za kizungu na taratibu za maisha ya kizungu. Afu wakati huo huo unatushauri...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930. HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI Somo 1-Wahima KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana...
4 Reactions
5 Replies
4K Views
Marehemu Major Gen. Muhiddin Kimario, mmoja ya mawaziri wawili tu wa Mambo ya Ndani katika historia ya Tanzania kuwahi kudumu katika nafasi hiyo kwa zaidi ya miaka 5. Alitumwa na Mwl Nyerere...
15 Reactions
166 Replies
39K Views
https://youtu.be/0cACJY499yk?si=DMgOElEwBVKKPc2w
1 Reactions
2 Replies
358 Views
Anaitwa Mohamed Iqbal Dar ni mtanzania anayeishi wingereza Mzee Mohamed Said shikamoo tunaomba mchango wako kwa hili
2 Reactions
18 Replies
941 Views
Asema katika Vita ya Kegara udhibiti wa mawasiliano na taarifa ulikuwa wa kiwango cha Raia Mwema: Hali ilikuwaje kule eneo la mapambano wakati wa vita ya Kagera? Jenerali Kikwelu: Kazi ilikuwa...
12 Reactions
45 Replies
20K Views
Hapo zamani za kale, Kuku na Tai walikuwa marafiki. Waliishi kwa amani na ndege wengine. Hakuna kati yao aliyeweza kupaa. Kuna siku njaa ilitokea. Ikamlazimu Tai kutembea umbali mrefu kutafuta...
2 Reactions
4 Replies
492 Views
#MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey...
0 Reactions
1 Replies
566 Views
Syria miaka ya 1970s kabla wapuuzi hawajachukua nchi. 👇 👇 👇 👇
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Uwepo wa wewe na mimi ni ushahidi tosha kuwa dunia imekaliwa na binadam kwa MUDA WOTE tokea alipoumbwa binadam wa kwanza. Kama dunia imekuwa na watu muda wote maana yake watu hao walikuwa...
11 Reactions
74 Replies
2K Views
Najua nitakachoandika hapa kitaleta ukakasi kwa watu wengi, lakini ukweli lazima usemwe. Wakoloni kutoka Magharibi walitumia nguvu zao za kijeshi na kiuchumi kutanua himaya zao, wakitafuta...
1 Reactions
0 Replies
370 Views
Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II au Sese! Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa...
26 Reactions
803 Replies
158K Views
Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika. Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la mwanadamu. Bara hili limekuwa makaazi ya falme nyingi na pia lililopoteza watu wake wengi kupitia biashara...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Habari zenu ndugu wana jukwaa letu pendwa. Kama mada inavyojieleza ukiangalia mambo yanavyoendelea nchini unaona kabisa kuna kila sababu ya chama cha mapinduzi kuwekwa likizo maana hawana mbinu...
0 Reactions
2 Replies
438 Views
1. Kabla ya taifa la kisasa la Israeli (lililoanzishwa 1948), kulikuwa na Mamlaka ya Uingereza (1920-1948), sio taifa la Palestina. 2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman...
3 Reactions
8 Replies
627 Views
MIAKA 29 iliyopita, Januari 1984, Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), iliyoketi mjini Dodoma kwa dharura, ilimvua (ilimpindua?) nafasi zote za uongozi, Rais wa Awamu ya Pili wa...
4 Reactions
12 Replies
10K Views
Jenerali mstaafu David Bugozi Waryoba Musuguri alizaliwa Januari 4, ‌1920 katika Kijiji cha Kumuruti, Masabha. Sasa sehemu hiyo inajulikana kama Nyasirori, akiwa mtoto wa tatu katika familia ya...
21 Reactions
38 Replies
17K Views
Back
Top Bottom