Jukwaa la Historia

On JF:

Wengi tukisikia mbilikimo huwa tunawaza wale wa misitu ya Congo, lakini historia inaonyesha kusini yote ya Africa, yaani kuanzia misitu ya Congo, kuja Uganda, Kenya kidogo, Tanzania yote hadi...
3 Reactions
6 Replies
626 Views
MAREHEMU JUMA MNONJI ALIVYONISOMESHA HISTORIA YA LAWI NANGWANDA SIJAONA NA UDUGU WAKE NA SULEIMAN MASUDI MNONJI Utangulizi Adam Sijali Sijaona jana ameweka kumbukumbu ya baba yetu marehemu Lawi...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
A History Timeline About Timeline From 7000bce To 3000 Bce Including The Creation Of Adam,bible Writings And Human Civillization In Africa The timeline from 7000 BCE to 3000 BCE marks significant...
1 Reactions
6 Replies
654 Views
Habari wakuu, Leo nawaletea uzi unaomuhusu Gerald Ford aliyepata kuwa Rais wa 38 wa Marekani. Pengine huyu ni mmoja wa wanadamu wenye bahati zaidi kuwahi kutokea. Je, Tanzania tunaweza kupata mtu...
8 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwanini Vita ya Kagera na Uganda haikuitwa Vita ya Tanzania na Uganda..?
1 Reactions
11 Replies
979 Views
Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu. Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia...
10 Reactions
47 Replies
2K Views
Jana wakati naangalia TBC Kwenye sherehe za Mashujaa zilizoongozwa na Rais nilipatwa na masikitiko makubwa sana hasa nilipouona ule Mnara wa MASHUJAA wa vita vya Kagera niliwakumbuka sana...
143 Reactions
582 Replies
192K Views
Alama Mohamed Said ameleta mabadiliko ya historia ya Tanganyika katika medani ya Uhuru na "resistance" iliyofanywa kwa juhudi kubwa ya "Vita ya majimaji" na juhudi binafsi za na nani alikuwa...
11 Reactions
90 Replies
9K Views
Wadau wa JF Utafiti huu wa imani za Ushirikina (Uchawi) ulifanywa na Serikali mwaka 1978 kupitia Wizara ya Utamaduni wa Taifa na Vijana na lihusisha Mikoa ya Kigoma, Tanga na Rukwa Hata...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama mkiweza kuweka na picha ya Watangazaji mnaowajua itapendeza zaidi. Picha na jina la Mtangazaji. Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic na...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
https://youtu.be/UI1dwP9caIQ?si=cdOmNaWG4V_LiCLs
1 Reactions
0 Replies
341 Views
Mkutano wa Iringa ulipitisha katiba ya jumuiya mpya ya Waislam, katiba ambayo ilikuwa sawasawa na katiba ya TANU. Hivi ndivyo BAKWATA ilivyoundwa. BAKWATA ikamchagua Saleh Masasi, Muislam tajiri...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
https://youtu.be/tpj0t6SIreE?si=gsDZm8sHGCJQkYPJ Katika mkusanyiko huu wa Waislam chini ya Muslim Development Fund (MDF) Mwenyekiti wake akiwa Mzee Kondo, Mzee Kitwana Kondo alisema kuwa nia ya...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Hawa watu wameacha alama isiyofutika katika mataifa yao. Maana kazi waliyofanya ilikuwa ngumu na kubwa haswa. Vita ya kupambana dhidi ya umasikini ni vita ngumu inahitaji viongozi wenye akili ya...
1 Reactions
2 Replies
410 Views
MJADALA WANGU NA MAREHEMU DR. KATAROGE MAYANJA KIWANUKA (AHMED KIWANUKA) 1988 Nimepokea ujumbe huo hapo chini kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu: ‘’Historia hii itufunze mambo mengi. Kafa...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
https://youtu.be/P1o9i3aSBUw?si=sl46f1N7qXlOe7Yb
1 Reactions
0 Replies
267 Views
https://youtu.be/T-yuovEhtwQ?si=A6xJADkt2L1dTQvk
1 Reactions
7 Replies
562 Views
Kwa wasiofahamu washiraz ni jamii ya ya watu huko iran kama kabila hivi. Achana na washirazi wa hapo unguja na mafia naongelea washiraz original. Hawa wanaweza kua ni kabila lililokua na...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom