Jukwaa la Historia

On JF:

BULAWAYO, ZIMBABWE 1993 Angalia picha hapo chini niko Bulawayo chini ya kibao na nyingine kipo kibao kitupu. Hiyo ambayo nipo chini ya kibao nilipiga Bulawayo mwaka wa 1993 na hiyo nyingine...
11 Reactions
31 Replies
3K Views
Nawashukuru ndugu zangu kupita kiasi. Kila siku wananikumbuka na kuniletea vitabu ama wavitume au kuja wenyewe maktaba kwa miguu yao. Abdulaziz Ali Khamis yeye anatoka Mombasa. Mara kwa mara...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
https://youtu.be/Po9jm6R1pTU?si=9ASSkOOiXUmLbSHe
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Tarehe 7.7. 1954 kilizaliwa chama cha Ukombozi wa Tanganyika. Kiliitwa Tanganyika African Nation Union (TANU). Maazimisho ya sabasaba yalikuwa na historia ya kuanzishwa kwa Chama (TANU). Mnamo...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Mwezi ulipita yaani September,ilitimia miaka 34 tangu kiongozi wa kanisa katoliki kwa wakati huo Papa John Paul II afanye ziara yake nchini. Hakuna ubishi ya kuwa Papa John Paul II ndio Papa...
5 Reactions
34 Replies
23K Views
Future members wa forum hii [ambayo kwa sasa inaitwa Jamii forums] Enyi mtakaojaaliwa kuishi miaka hii ya 2090. Mjue tu, namimi ◇Nilizaliwa nikiwa kitoto kichanga ◇Nikakuzwa na wazazi hata...
6 Reactions
17 Replies
591 Views
https://youtu.be/-SGlpOTy4pA?si=Mxbk6h2zHWYZpzLh
2 Reactions
8 Replies
836 Views
Hakuna kitu kinachomweka Mtafiti katika hali ngumu kama pale anapoelezwa miujiza katika utafiti wake. Hapa anakuwa katatazika kwa sababu mafunzo yake hayajamtayarisha katika hilo. Mtafiti yoyote...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Sal Davis An Autobiography Sal Davis: An Autobiography with Mohamed Said Sal Davis is the stage name and identity of the son of an Arab aristocrat Sharif Abdallah Salim of Mombasa. The life of...
2 Reactions
3 Replies
813 Views
BURIANI SALIM ‘’SAMMY DAVIS’’ HARIZ Niko njiani naelekea Tanga. Safari nimeanza alfajir sana. Nasinzia baada ya kupita Wami. Naizima simu yangu kuhifadhi ‘’charge.’’ NIlipofika Tanga ndipo...
4 Reactions
9 Replies
960 Views
Kabla ya kufa akiwa na umri wa miaka 40, kutokana na saratani ya tumbo, mbunifu na mwandishi maarufu Crisda Rodriguez aliandika: 1. Nilikuwa na gari la bei ghali zaidi ulimwenguni kwenye...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
https://youtu.be/Id8-WJc6ODY?si=9lzAbgoq1Vq3Fzcd
0 Reactions
6 Replies
588 Views
Daniel Arap Moi alivyomaliza miaka 24 madarakani bila mke Rais mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi aliyekuwa na umri wa miaka 95 alifariki dunia Februari 4, 2020 katika hospitali ya Nairobi...
11 Reactions
30 Replies
26K Views
Na Vincent Mwakisyala Wimbo huu wa usinipite ni moja kati ya nyimbo za kikristo maarufu sana Duniani. Na wimbo huu unaimbwa Na madhehebu karibu yote. Ni wimbo wa maombi, una ujumbe uliotulia, Na...
13 Reactions
14 Replies
9K Views
Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau. Kwa mara ya kwanza nilishuhudia barabara za jiji la Dar zikipigwa deki. Siku Obama anatua jijini ilikuwa kama siku ya kiyama, mji...
52 Reactions
114 Replies
6K Views
Historia Shirley Graham Du Bois, Tanzania, na Ulimwengu: Mtu Tajikwa Kati ya Watu Mashuhuri Ulimwenguni Kazi muhimu na michango ya wanawake katika jamii nyingi ulimwenguni mara nyingi hupuuzwa...
4 Reactions
6 Replies
905 Views
Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye...
2 Reactions
0 Replies
585 Views
KITABU CHA HISTORIA YA MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMEIR (1880 - 1979) Sijapatapo kuandika chochote kuhusu Sheikh Hassan bin Ameir nikaacha kulengwalengwa na machozi. Hamu kubwa ya Sheikh Hassan bin...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana. Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000. Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
5 Reactions
142 Replies
8K Views
Back
Top Bottom