Jukwaa la Historia

On JF:

Kuhusu Maisha na Historia ya Malcolm X Mohamed Said anaeleza namna historia ya Malcolm X ilivyokuwa na ushawishi mkubwa kwa vijana wa miaka ya 1960: Mabadiliko ya Maisha: Alieleza kuwa vijana...
1 Reactions
0 Replies
36 Views
Mohamed Said anasimulia kuwa alipokea ujumbe wa moja kwa moja kutoka CIA mnamo mwaka 2006 wakati akifanya utafiti kwenye mtandao: "mimi niliwahi kuletewa email message ujumbe katika emaili yangu...
4 Reactions
14 Replies
329 Views
Nukuu za Simanzi na Buriani Mohamed Said anaanza kwa kutoa taarifa ya kifo cha dada yake na kuelezea mazingira ya mazungumzo yao ya mwisho: "Nimefiwa na dada yangu Mwajame Dosa Azizi Wajabe ni...
1 Reactions
17 Replies
304 Views
Kuhusu Kudhoofika kwa Nguvu za Marekani na Israel Mohamed Said anaeleza kuwa Marekani imepoteza nguvu zake za kijeshi dhidi ya Iran kiasi cha kulinganishwa na "chui wa karatasi": "...tunavyodhani...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Jamaa anaitwa Victor Lustig mzaliwa wa nchi ya Ufaransa. Alijulikana sana kama “mtu aliyeliuza Eiffel Tower” na cha kushangaza zaidi, alijaribu kulifanya tukio hilo mara mbili. Mwaka 1925...
5 Reactions
12 Replies
134 Views
Wakuu Nilikuwa naangalia series ya The American Experiment ikielezea how America was founded na walivyoandika katiba Kumbe Katiba ya Marekani ya mwaka 1787 iliandaliwa na wazee 55 tu...
1 Reactions
1 Replies
165 Views
https://youtu.be/SIhAolibf1c?si=Y2Pk2yO1KCUm7j31
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Mwaka 1933, kutokana na hofu kuwa African Association ilionekana kuwa na sura ya Kiislamu pekee, waasisi waliamua kutenganisha dini na siasa ili kuwavutia Wakristo. Mzee Bin Sudi na Kleist Sykes...
0 Reactions
20 Replies
212 Views
https://youtu.be/2AJc0jjjz9k?si=IBOQqohMS8pQIGn9
0 Reactions
15 Replies
204 Views
Vyanzo vinaelezea mchango wa watu wasio Waafrika na wengine waliosahaulika katika harakati za TANU: George Arnautoglo: "Huyu alikuwa ni mgiriki... mimi nilikuwa napokea pesa kutoka kwa Joja...
0 Reactions
2 Replies
143 Views
Coca-Cola ni miongoni mwa vinywaji vinavyotambulika zaidi duniani, lakini wengi hawajui kuwa mwanzoni hakikutengenezwa kama kinywaji cha kawaida. Mwaka 1886, mfamasia wa Marekani John Stith...
2 Reactions
8 Replies
167 Views
Ukoloni Zanzibar haukuanzia kwa waingereza bali kwa walowezi waarabu wa Omani ambao walihamia zanzibar pamoja na ndugu ya sultani wao ambapo walimuweka akawa sultani wa zanzibar na kuanzisha...
2 Reactions
3 Replies
184 Views
Mohamed Said anakumbuka wimbo waliokuwa wakiimba utotoni huko Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, walipokuwa wakicheza kwenye mapembea: "...tukikaa kwenye kile tulikuwa tunaimba mchimba kisima akaingia...
5 Reactions
9 Replies
195 Views
Mohamed Said, hizi hapa ni nukuu muhimu zinazohusu mzozo wa Iran na Israel: Kuhusu Uwezo wa Kijeshi wa Iran dhidi ya Israel Vyanzo vinaeleza kuwa hali ya sasa imebadilika na kuifanya Israel kuwa...
0 Reactions
5 Replies
144 Views
Kuna watu kama Mohamed Said ambao wana mtizamo kuwa historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika imepotoshwa kwa kuwa mchango wa waislam hauelezewi kwa kina. Lakini labda ipo pia historia iliyoachwa...
8 Reactions
95 Replies
1K Views
Wajenzi Halisi" wa Tanganyika "Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu." "Mbona hizi historia zimepishana hivi?"...
2 Reactions
65 Replies
685 Views
Miaka ya nyuma wakati wa ukoloni bonde la mto Rufiji lilijaa sana wanyama. Pengine nchi hii hakukuwa na sehemu yenye wanyama wengi kama bonde la Rufiji. Simba walikuwa wengi na waliua sana...
7 Reactions
25 Replies
561 Views
1. Umuhimu wa Vitabu na Elimu Mohamed Said anasisitiza kuwa maarifa ya kweli yamehifadhiwa katika maandishi: "Elimu yote ipo kwenye vitabu Siwezi kuipata kwingine kokote". "Hakuna kitu kinaweza...
1 Reactions
0 Replies
82 Views
Mkoa wa Tanga una eneo la 27,348 km² na uko Kaskazini Mashariki mwa Tanzania ukipakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa mashariki na mikoa ya Morogoro, Manyara na Kilimanjaro...
16 Reactions
120 Replies
40K Views
Documentary ni nini? Documentary ni video inayosimulia hadithi halisi kuhusu kampuni, taasisi, jamii, mtu au shughuli fulani. Lengo lake ni kuelimisha, kuhamasisha au kuhifadhi historia kwa njia...
0 Reactions
2 Replies
128 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…