Jukwaa la Historia

On JF:

Je, Augustine Mahiga ndiye "Shahidi X" kwenye kesi maarufu ya uhaini ya mwaka 1983? Yasemekana alikuwa na kumbukumbu mujarab zilizowezesha kuwasambaratisha washtakiwa. Kitabu cha Kesi ya Uhaini...
24 Reactions
144 Replies
29K Views
Kwa wale waliosoma History huyu ndiye Luteni Zachariah Hans Pope wa JWTZ alieshiriki Ktk jaribio la mapinduzi ya kumpindua baba wa Taifa mwl JK Nyerere 1982 akishirikiana na kina kapteni Eugene...
4 Reactions
56 Replies
28K Views
Kama anavyotambulishwa, jina lake ni Zacharia Hans Poppe, ambaye alizaliwa mwaka 1956 mjini Dar es Salaam na kukulia mkoani Iringa. - Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Zacharia alijiunga na...
5 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari Wana JF leo Kama Kawaida Mimi mtu wa Kufuatilia Historia Mbali mbali Twende na Mimi. KIFO CHA ADOLF HITLER, TAREHE 30/04/1945: Adolf Schickelgruber, A.K.A Hitler alikuwa mzaliwa wa nchi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nakuomba uandike salua ya al marhoom Joseph Kasela Bhantu,ili watanzania wamfahamu huyu mwamba
2 Reactions
8 Replies
617 Views
"The stong man in the world is the one with the best information" Hii ni kauli ya waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Benjamin Disarel ambaye aliwahi kutawala kipindi nchi hiyo wakati wa vuguvugu...
22 Reactions
311 Replies
82K Views
Amani itawale. Watu wa taifa la Thamud walipata kuishi katika nchi/mji uliofahamika kama Al-Hijr kaskazini magharibi mwa taifa la Saudi Arabia hivi leo. Ni watu waliokuwa na nguvu sana na...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
MBUGA KUBWA YA WANYAMA YA SELOUS https://m.youtube.com/watch?v=sPvEJL1q4Io Frederick Selous aliyezaliwa 1851 akawasili Cape Town jamhuri ya Africa ya Kusini bandarini akiwa na umri wa miaka 19...
1 Reactions
3 Replies
547 Views
https://youtu.be/XIa2ltkf0u4?si=HWHNYLJcPJFEI439
1 Reactions
1 Replies
318 Views
Shajara ya Mwana Mzizima Sheikh Yahya Hussein: ‘Mjawiid’, Mnajimu, Tabibu na Mtabiri Bingwa Afrika Mashariki Sehemu ya Kwanza Na Alhaji Abdallah Tambaza Sheikh Yahya Hussein NIANZE kwa...
13 Reactions
56 Replies
20K Views
https://www.youtube.com/live/tgpm1rOJpeM?si=voIwGe_Sw_H7wvmh
2 Reactions
2 Replies
378 Views
https://www.instagram.com/reel/DIIoJOPtpCc/?igsh=MWpzdmVoeGRtam9rbg==
3 Reactions
1 Replies
297 Views
https://youtu.be/DrvRASg0n_M?si=-WYJZqPRWbtkwjmU
3 Reactions
19 Replies
895 Views
LUTHERAN PRIMARY SCHOOL MOSHI KAMA ILIVYOKUWA 1950s NA SASA Nilianza darasa la kwanza mwaka wa 1958 kwenye jengo hilo hapo chini lililokuwa ni Kanisa la Kilutheri. Baada ya miaka mingi nilifika...
40 Reactions
112 Replies
10K Views
BAHASHA ILIYOBEBA KITABU KUTOKA KWA ALLY DAR ES SALAAM KWENDA KWA ALI NAIROBI Asalaam Aleikum Warahmatullah Wabarakatuh Sheikh Salim, Ahsante sana kwa kuniletea kumbukumbu ya Balozi Chirau Ali...
2 Reactions
2 Replies
377 Views
Mhando aliongeza kueleza kuwa pia alikuwa akimtambua mtu mwingine kwa jina la Piu Mtakubwa Lugangira au Father Tom na au Uncle Tom.Alimtambua ,alisema baada ya kumpeleka kwa mganga mmoja wa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
"A JOURNEY" MY LIFE, SPEECHES & WRITINGS" KUTOKA KALAMU YA JUMA VOLTER MWAPACHU Kuna wakati naamini hata William Shakespeare alikuwa anaishiwa na maneno kalamu ikabakia inaning'inia mkononi na...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
MOYO MWEMA WA JUMA MWAPACHU Tulikuwa tumeshamaliza kuzika taratibu tunarudi kwenye magari yetu tuondoke Pande turejee Tanga mjini. Akanijia mmoja wa vijana walionipokea Tanga nilipohamia mwaka...
6 Reactions
4 Replies
625 Views
Katika uchumi nguvu za kijeshi na ushawishi wake katika dunia Hii
5 Reactions
225 Replies
79K Views
Niliwahi kusoma makala moja iliandikwa na marehemu Ali Nabwa,kwenye gazeti la dira,yenye kichwa cha habari,Zanzibar yafa dungu msokoni. Makala hiyo ilielezea ugomvi mkubwa sana kati ya karume na...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…