Kutoka Maktaba; Show ya Pasaka kutoka kwa Power Mabula

Kutoka Maktaba; Show ya Pasaka kutoka kwa Power Mabula

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,537
Reaction score
10,520
Maisha yameenda kasi sana, unaweza kujua hii ilikuwa mwaka gani?
IMG_6470.jpeg
 
Aisee pawa mabula alijulikana nchi nzima kwa watoto wa shule miaka ya 80 na 90. Alikuwa anakusanya umati mkubwa wa watoto mitaani akiwaimbisha wimbo wake wa pawa mabula ee, ee, alikuja ee, ee.... Watoto wa zamani tuna mengi ya kusimulia
 
Tamaduni na njia zenu za miaka hiyo zote zimebatizwa Jina "Ushamba"
Tutazikumbuka enzi na siku zetu za zamani.
Ulimwengu mlioishi haupo Tena.
MKUU yaani kama kweli nyakati za miaka baada ya uhuru tutazitupilia mbali na kusahau matukio eti ni zama za kishamba basi hatuwez kuwa na utimamu wala future.
Wakati kuna nchi wanasimulia,wanatoa vitabu na kuigiza move za matukio ya story zilizo tokea 400 BC hata kabla mataifa yao hayajatoka tumboni mwa wakati.
 
Back
Top Bottom