Jukwaa la Historia

On JF:

Naomba kuwasilisha kazi yangu kwa ajili ya mashindano ya 'Stories of Change'. Hadithi hii imejengwa kwenye msingi wa matumaini, mapambano na ubunifu wa vijana wa Tanzania. --- “They called me...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Kutokana na mabadiliko ya maisha pamoja na utandawazi Mila na desturi hasa majina ya asili ya kitanzania yanazidi kupotea! nimeona ni vizur kuanzisha Uzi huu ili tuweke kumbukumbu vizuri za Maana...
2 Reactions
21 Replies
15K Views
Kwa yanayoendelea Congo nimebaini kuwa vita zina propaganda nyingi sana. Kwenye historia ya Idd Amina tumeambiwa kwamba Iddi Amin akiwa Rais aliwahi kufokewa na mlemavu kwamba ameshindwa kuiongoza...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Leo nimeona niwaletee machache kuhusu Jenerali Robert Mboma, aliyepata kuwa Mkuu wa Majeshi wa Tanzania miaka ya nyuma huku akiwa na rekodi mbalimbali. Twende kazi… 1. Jenerali Robert Mboma...
19 Reactions
60 Replies
7K Views
LEO SIKU YA KUZALIWA SIJALI ADAM SIJAONA Rafiki yangu Sijali Adam Lawi Nangwanda Sijaona kaniletea ukurasa mmoja wa shajara ya baba yake marehemu Mzee Lawi Nangwanda Sijaona ambayo aliandika...
2 Reactions
5 Replies
566 Views
Mnamo mwaka 1953, serikali za Amerika na Uingereza zilipanga mapinduzi nchini Iran, na kumpindua Waziri Mkuu aliyechaguliwa kidemokrasia Mohammad Mossadegh. Hatua hii, inayojulikana kama...
1 Reactions
0 Replies
474 Views
UNAWAFAMU VIPI WAIRANI? Vita vya Iran na Israel vimevuruga ratiba yangu ya kazi kwani muda wangu mwingi unakuwa katika kufuatilia vita hivi katika vyombo vya habari mashuhuri ulimwenguni – Al...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Nani mwenye kujua historia hiyo vizuri, nimeona Ile movie ikieleza na kuonyesha hali ilivokuwa wakati huo. Naombeni na picha za wakati huo na sasa
1 Reactions
6 Replies
566 Views
HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains. Bahari Yao Inaitwa Black Sea, haisapoti hata samaki... Ina...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii forums. Mimi ni mtanzania ambaye haishi Tanzania kwa zaidi ya miaka ishorini. Pamoja na kuishi nje ya Tanzania kwa mda mrefu hakuna siku ipitayo bila kutafuta habari za...
1 Reactions
5 Replies
562 Views
Hi there, I'm bored at here ukijumuisha na matukio yanayoendele kwa viongozi wa serekali yetu nikaona nishee nanyi baadhi ya vita vilivyoanzishwa na na viongozi wa nchi ambapo ukifikiria sababu za...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Si mwingine bali ni mtu mfupi wa kimo bali mrefu wa maarifa na kuona mbali kuhusu kesho ya taifa lake Deng Xiaoping Mkomunisti na dikteta bora wa kichina aliye iokoa chini yake kutumbukia...
0 Reactions
3 Replies
588 Views
Hivi Gen Z mnajua kweli historia ya huu mnara? Kitu kilichonipa ushawishi wa kutaka kukua zaidi ni hili neno 'Bismini'. Maana yake ni nini? Na chimbuko lake ni nini? Nimejaribu kutafuta lakini...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Hii video clip nilipokuwa naisikiliza mwili ulikuwa unanisisimka, nikakumbuka utoto miaka ya mwanzo ya 60 pale kwetu Lumumba na wazee niliokua nawaona pale wakija ofisi ya TANU na Nyerere akiwemo...
11 Reactions
153 Replies
8K Views
NAMKUMBUKA PROF. KIGHOMA MALIMA Siku kama ya leo tarehe 5 August 1995 mida ya kama saa nne asubuhi mpwa wangu akitokea Makao Makuu ya NRA Kariakoo alinifahamisha kuwa Prof. Malima amefariki mjini...
8 Reactions
15 Replies
4K Views
Kabla ya yote napendakuwashukuru wote wazee wote waliotoa mchango wao wa mawazo, pia namshukuru mzee mkare MNyigana kwa kutumia mda wake mwingi kuandika hili chapisho Kabila la wangoreme...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Hili lipo Historically, tunaambiwa huyu mdau (mgunduzi) alitumia mbinu za kutumia vioo na mwanga wa jua (kama vile lense inavyoweka kuchoma karatasi) na kuunguza Meli zilikuwa zinavamia..., Je...
0 Reactions
5 Replies
477 Views
🕊️ JARIBIO LA KUMUUA PAPA JOHN PAUL II: RISASI KATIKA UWANJA WA ST. PETER 🔫✝️ Mei 13, 1981 — dunia iliganda. Risasi zilirindima katika Uwanja wa Mtakatifu Petro. Papa John Paul II, kiongozi...
2 Reactions
7 Replies
990 Views
https://www.youtube.com/watch?v=kAmm4ucvBDM
1 Reactions
3 Replies
397 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…