RAI YA MZEE ABOUD JUMBE
Ukiachilia mbali kitabu chake cha THE PARTNERSHIP, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Wa Kwanza wa Rais...
Nimekuwa nikiwaza sana Kuhusu suala la dini na kusoma makala mbalimbali humu na sehemu nyingine.
Nilichokuja kuambulia ni kuwa katika matabaka mengi yaliyopo duniani waafrika ndio tabaka...
LUMUMBA'S LAST STATEMENT
FROM HIS CELL, SHORTLY BEFORE HIS DEATH, PATRICE LUMUMBA SENT THE FOLLOWING LETTER TO HIS WIFE PAULINE
MY BELOVED COMPANION,
I write you these words not knowing...
Said Abeid
Mjukuu wa Mohamed Abeid
Said Abeid nini uzawa wangu tumekutana miezi michache iliyopita Msikiti wa Maamur wakati wa Asr mimi nilikuwa napita njia na sala ikanikuta nikiwa maeneo hayo...
Lamu ni mji mkubwa katika kisiwa cha Lamu kwenye pwani ya Kenya. Ina wakaazi takribani 10,000. Mji pia ni makao makuu ya Wilaya ya Lamu na Jimbo gatuzi la Lamu.
Mji upo upande wa...
Mohamed Said May 18, 2017 0
Thomas Soudt Plantan
Utangulizi
Siku zote nimekuwa nikimkera mama yangu Bi. Maunda Plantan kupitia mwanae Mzee Salum Khamis anipatie picha ya baba zake akina...
Mohamed Said May 10, 2017 0
Katika gazeti la Raia Mwema leo (Mei 10 - 16, 2017) Barazani Kwa Rajab, Ahmed Rajab kaka yangu na na mwalimu wangu katika uandishi kuna makala, ‘’Nyerere...
Nilipokumbuka ile hadithi ya kibanga kampiga mkoloni nikajiuliza kwa nini hakummaliza kabisa. Yapo mambo mengi katuletea au kuyafanya ambayo ukiyaangalia kwa nje ni mazuri kumbe yana ubaya sana...
Patrice Lumumba's Letter to Pauline Lumumba, 1960
My beloved companion,
I write you these words not knowing whether you will receive them, when you will receive them, and whether I will still...
Johannesburg - Former African National Congress Youth League president Julius Malema joined the ANC at age 14 in 1990 and moved through the ranks of the Congress of South African Students where he...
Mi naona dua ile inamdhalilisha Rais hasa pale ina inaposomwa "umjalilie rais wetu hekima". Mi nadhani ingeindika hivi " umzidishie Rais wetu hekima"
Ukisema umjalilie mtu hekima maana yake ni...
Maelfu ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali wamejitokeza kwa wingi jijini Washington DC Siku ya Jumamosi Aug 24, katika maandamano ya kuunga mkono kumbukumbu ya historia Miaka 50 tangu kutoa...
Wakuu mnaopenda kuangalia movie ambazo zinatengenezwa kwa kufata historia au matukio ya kweli basi hii Movie ya Lone Survivor ni moja ya matukio ambayo yaliitingisha Marekani 2005.
Huyu ndio...
Muasisi wa klabu ya simba na Red star ambaye pia ni mmoja wa wadhamini wa klabu ya Saigon Mzee Issa Ausi amefariki atazikwa Jumatano kwenye makaburi ya Ndugumbi magomeni saa 7 mchana. Tar...
Habari Wakuu, lengo la uzi huu ni kukusanya taarifa nyingi kadri tunavyoweza zinazomhusu Baba wa Taifa letu na kuziweka mahala pamoja. Mnaruhusiwa kuongeza makala zake, vitabu na machapisho pia...
Kwa miaka 41nimezaliwa wa nimeishi Tanzania Kilimanjaro Ninaijua historia :
Ukiona jambo linapotoshwa na watu wanaojitekenya wenyewe na kucheka wenyewe ni lazima usahihishe vinginevyo wanaweza...
Jina la Abdulwahid Sykes (1924-1968) katika historia ya uhuru wa Tanganyika kwa sasa halihitaji kuelezwa sana.
Historia yake imekuwa ni historia ya kusisimua unapomsoma kuhusu yale aliyofanya...
Buriani SAMUEL JOHN SITTA (Disemba 12, 1942 - Novemba 7, 2016)
Taarifa rasmi ni kuwa Mzee wetu, Spika wa Bunge wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndugu Samuel John Sitta...
Tanzania ni Nchi ambayo husifika mno kwa ukombozi wa Nchi mbalimbali za Afrika, hasa zile zilizo Kusini mwa Bara hili Masikini zaidi Duniani. Uthibitisho juu ya Ukindakindaki wa Nchi yetu juu ya...