Jukwaa la Historia

On JF:

KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI? Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake...
16 Reactions
227 Replies
33K Views
Wanabodi, Tunapojiandaa kusherehekea kumbukumbu ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kuna baadhi ya vibaraka wa Sultan mpinduliwa wanafanya juhudi kubwa kuuchokoa Muungano ili uvunjike...
2 Reactions
53 Replies
9K Views
Leo asubuhi nilifanyiwa mahojiano na mtangazaji Faraja wa Azam TV kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar. Mtangazaji alifungua kipindi kwa utangulizi kuhusu historia ya mapinduzi na umuhimu wa kuyaenzi...
3 Reactions
32 Replies
9K Views
MIAKA 20 BAADA YA KUFIKA PWANI YA KIPUMBWI: HISTORIA YA KAMBI YA KIPUMBWI KATIKA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Miaka 20 iliyopita tarehe kama ya leo 9 December, 2003 ndiyo siku Mohamed Omari Mkwawa...
12 Reactions
71 Replies
4K Views
Ni nani makomredi walioshiriki Mapinduzi ya Zanzibar 1964 Picha: Baraza la Kwanza la Mapinduzi Zanzibar WIKI iliyopita mwandishi Salma Said alichangia katika mazungumzo ya humu mtandaoni...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
https://youtu.be/Vb7IeyvxrtE
1 Reactions
1 Replies
168 Views
Abeid Karume aliuawa kwa kipigwa Risasi Tarehe 7/4/1972 Risasi nane zilitolewa mwilini kwake mwili wake ulipofikishwa kwenye Hospitali ya V. I. Lemin, mjini Unguja kwa uchunguzi, Sawa na idadi ya...
16 Reactions
63 Replies
18K Views
John F Kennedy JFK anafahamika kama miongoni mwa marais wa Marekani waliokaa madarakani muda mchache zaidi Sasa leo tunawajadili viongozi waliokaa madarakani(walioyatumikia madaraka) kwa muda...
14 Reactions
91 Replies
16K Views
Wakuu, Nimekutana na picha hii na nimepata maswali sana. Hawa ni wajumbe wa tawi la wanawake la TANU wakiagana na Mwalimu Nyerere usiku wa kuamkia safari yake ya Umoja wa Mataifa mwaka 1955...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Nawapongeza sana Taifa Stars walionyimwa haki lakini wakashikilia amani. Pamoja na kuchezewa rafu na refa ambaye kawanyima haki wazi wazi, kwa sababu wanatoka kwenye kisiwa cha amani...
2 Reactions
1 Replies
119 Views
Historia ni kama albamu ya zamani; hakuna kitu kipya, ni picha zinazojirudia. Hata kukamatwa kwa Nicolás Maduro na Marekani wala si suala geni kihivyo. Kurasa zote za habari hivi sasa...
2 Reactions
1 Replies
381 Views
Wakutu ni Kabila linalopatikana mpakani mwa mkoa wa Morogoro na Pwani. Kwa mkoa wa Morogoro wanapatilana katika wilaya ya morogoro ( Morogoro vijijini ) katika vijiji vya Dutumi, Mvua, kisaki...
12 Reactions
41 Replies
4K Views
Hili ni moja ya kabila ambalo linapatikana hapa hapa Tanzania hasa upande wa mashariki. Japo habari na historia la kabila hili zilishaandikwa, hasa juu ya asili ya neno Uzaramo au Wazaramo. Kwa...
8 Reactions
25 Replies
56K Views
Kwenye kituo kimoja cha treni ndani mji wa Rotterdam, alionekana mwanaume mmoja akiwa amevalia miwani nyeusi ya jua huku amekamata begi aina ya briefcase mikononi mwake. Bwana huyu kama...
15 Reactions
47 Replies
2K Views
Amefumbua macho kuhusu wanaharakati wa mwanzo Kabla ya maandishi yake: Majina kama Abdulwahid Sykes, Ally Kleist Sykes, na African Association yalikuwa hayajulikani kwa umma Historia ya uhuru...
2 Reactions
8 Replies
311 Views
THE LONG ROAD TO DAWN. Uganda's Story, Told in Shadows and Fire PART 1 Uganda’s independence did not arrive as a sudden miracle. It was shaped in silence, suffering and stubborn hope. Hope...
1 Reactions
2 Replies
303 Views
Nilikuwa katika maktaba ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), maarufu kama Archbishop Mgulunde Learning Resource Center, mwanzoni mwa Novemba, nilipokutana na kitabu cha zamani...
7 Reactions
23 Replies
777 Views
1. Mwaka 1955 alijiuzulu ualimu Pugu sekondari baada ya kuambiwa achague siasa au ualimu 2. Kama mwaka 1958 hivi alijiuzulu ubunge baada ya kuona hamna anachofanya, mapendekezo yake yote...
1 Reactions
6 Replies
257 Views
Haya yaliandikwa na mmishionari 1891-1916 Mazishi Sasa mazishi yenyewe yanaanza. Maiti akivuliwa nguo anabebwa nje ya nyumba na kuviringishwa mkeka ambao inabidi usifungwe sana, kwa sababu kamba...
3 Reactions
4 Replies
357 Views
Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika. Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya...
6 Reactions
81 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…