Jukwaa la Historia

On JF:

Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili sumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MANENO YANGU KUHUSU KIFO CHA SHEIKH ISSA BIN NASSER MWANDISHI WA ‘’ZANZIBAR KINYANG’NYIRO NA UTUMWA’’ Na Sheikh Ponda Issa Ponda Mimi ni mmoja katika watu wanaofanya uchunguzi katika historia ya...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwandishi amesimama Lincoln Memorial aliposimama Dr. Martin Luther King alipotoa hotuba yake, ''I Have a Dream.'' Siku kama ya leo Martin Luther King aliuliwa Memphis kwa kupigwa risasi na hii...
14 Reactions
30 Replies
7K Views
MWANADAMU NA MUUJIZA Binadamu tunapenda muujiza kwa kuwa inarahishisha kufikiri. Kwanza nataka kukutoa hofu juu yangu ili nikufahamishe kuwa mimi hupenda kuukubali ukweli unapodhihiri na hii...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Alikua ni raia wa Marekani alizaliwa 18/5/1889 nchini Marekani. Alizaliwa akiwa na miguu mitatu na yote ilikua inafanya kazi alizaliwa akiwa na sehemu za siri za kiume mbili (2) Shemu za siri...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
HAZINA YA MZEE KISSINGER KATIKA MAKTABA YA MOHAMED SAID Kama waandishi wa Wasifu wa Julius Nyerere wasingesema kuwa Maktaba yangu ni katika maktaba tatu bora walizoziona wakati wanatafiti maisha...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
TAAZIA: BENJAMIN WILLIAM MKAPA NA KITWANA SELEMANI KONDO MARAFIKI WALIOPENDANA KWA DHATI Kitwana Selemani Kondo wengi huenda watashangaa kusikia kuwa alikuwa rafiki kipenzi wa wa Benjamin William...
7 Reactions
38 Replies
5K Views
TAAZIA YA DR. DAU KWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA NA YALE MAKUBWA NA MAZITO AMBAYO HAKUYASEMA Hakuna kitu kinagusa fikra na linabaki akilini na kuhifadhika kwengineko kama neno lililoandikwa...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
WAKILI MUSA KWIKIMA (1939 – 2020) KATIBU TUME YA WAISLAM YA MGOGORO WA EAMWS, 1968 Unaanzaje kuandika historia ya mtu kama Musa Kwikima katika Mgogoro wa EAMWS? Unaanzaje? Historia ya Musa...
7 Reactions
41 Replies
8K Views
Kuna mtu kaniletea makala ya Bi. Titi Mohamed na akaniuliza usahihi wa makala hiyo. Nimeisoma na mimi nikawa mwanafunzi makala ina mengi ambayo kwangu sikuyajua kwa undani wa kiasi kilichoandikwa...
8 Reactions
8 Replies
5K Views
DR. RAMADHANI KITWANA DAU ANAVYOMKUMBUKA RAFIKI NA KIONGOZI WAKE RAIS MSTAAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA KWA NINI NAMLILIA MZEE BENJAMIN WILLIAM MKAPA Dkt. Ramadhani K Dau Ilikuwa siku ya Ijumaa...
12 Reactions
6 Replies
2K Views
Wale ambao hawawezi kukumbuka historia, ndiyo ambao kimakosa wanarudia makosa ya kihistoria” - George Santayana Rais wa 40 wa taifa la Marekani, mwenye daraja la 33 kwenye asasi ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
UZOEFU WANGU WA MAANDAMANO UINGEREZA NA MAREKANI Nimesoma hapa kuhusu mapokezi ya Tundu Lisu na maandamano yake na jinsi polisi walivyolitawala jambo lote kwa hekima na likapita salama salmini...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
NIMEITOA KUTOKA THESIS: TANZANIAN CHRISTIANS PERCEPTION OF MUSLIMS IN THE CONTEXT OF NATION'S CHRISTIAN - MUSLIMS RELATIONS BY JONATHAN JOUNG SUN LEE 2019 Among the authors, I found Mohamed Said...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Picha hii nilimpiga Rais Mkapa siku alipozindua kitabu cha hotuba zake kilichochapwa na Mkuki na Nyota. Nilijulishwa kwake na Bwana Walter Bgoya Mkurugenzi Mkuu wa Mkuki na Nyota tukapeana...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Unaweza ukashangaa akikwambia yeye ni dalali na anataka kuliuza jengo la Taj Mahal? Ingawa inaweza kuonekana kuwa ni vigumu kuamini miaka ya sasa lakini ukweli ni kwamba miongo michache...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Did you know.....?? They used to use urine to tan animal skins, so families used to all pee in a pot & then once a day it was taken & sold to the tannery. If you had to do this to survive you...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Upo mstari mwembamba sana kati ya akili (intelligence) na uchizi (craziness). Mara nyingi watu wenye akili nyingi sana huwa na uchizi fulani. Ukipata nafasi ya kuwasikiliza machizi waliopo mtaani...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu stori inayotrend saivi ni tamko la mamlaka za Uturuki kubadili matumizi ya jengo la kale la Hagia Sophia lililojengwa mwaka 537 (yapata miaka 1,500 iliyopita) kutoka kuwa makumbusho na sasa...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
BARAKA SHAMTE MTOTO WA WAZIRI MKUU WA KWANZA WA ZANZIBAR SHEIKH MOHAMED SHAMTE Kama isingekuwa kushiriki kama Mtafiti Msaidizi wa Dr. Harith Ghassany wakati anatafiti kitabu chake ‘’Kwaheri...
5 Reactions
2 Replies
46K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…