Jukwaa la Historia

On JF:

Kuna mtu kaniuliza ni nani Iddi Faiz Mafungo? Maswali kwangu yanakuwa mengi mno kuhusu historia ya TANU na Mwalimu Julius Nyerere kiasi naelemewa. Muulizaji angeweza kuingia Google angemsoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Yapata takribani miaka 36 tangu waziri mkuu Edward Moringe Sokoine afariki kwa ajali ya gari huko Wami-Dakawa akitokea Dodoma baada ya kuahirisha bunge tarehe 12/4/1984 akielekea Jijini...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Mnara huu upo kaskazini mashariki mwa Uwanja wa Taifa, ni mnara wa kumbukumbu ya marubani wawili wa ndege vita ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambao ndege yao ilianguka wakati wa maonyesho ya...
9 Reactions
24 Replies
5K Views
ATHMANI SALUM MATENGA MWANA TANU WA TAWU LA ALI MSHAM Mzee Athumani Salum Matenga hivi sasa umri wake unakisiwa kufikia miaka 90. Anasema alikuwa mwanakamati wa tawi la TANU lililoanzishwa na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
J. EDGAR HOOVER MKURUGENZI WA FBI NA "FILE" LA SIRI KUBWA J. Edgar Hoover ndiye Mkurugenzi wa kwanza wa FBI na alikikalia kiti kwa nusu karne. Lilikuwa jitu la mikasa likitisha na kuogopewa na...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
KITABU HIKI NI ''MASTERPIECE'' JOHARI - ''KANZU YA UKUBWA'' RIWAYA ALIYOANDIKA HAFIDH KIDO Kitabu hiki ni kitabu mihumu sana katika uandishi wa lugha ya Kiswahili. Maisha yangu toka udogoni ni...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
BURIANI CAPTAIN MALIKI Dr. Ramadhani Kitwana Dau Jumatano tarehe 11 Novemba 2020 ni siku ambayo soka la Tanzania limepatwa na pigo kubwa kwa kuondokewa na mmoja wa watu waliohifadhi kumbukumbu...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
‘’SISI NI WAYAHUDI’’ (THE BOY IN STRIPPED PYJAMAS) Hiki ni kitabu kilichoandikwa na John Boyne na kikafanywa filamu. Hii ni hadith katika mambo ya kweli kuhusu kijana wa miaka tisa Bruno ambae...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais Omar Bongo wa Gabon ni Rais anayeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa Rais aliyeongoza muda mrefu zaidi duniani. Rais huyo aliongoza Gabon kwa miaka 42 tangu Desemba 2, 1967 hadi alipofariki Juni...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
BARAZANI Na Ahmed Rajab SIKU moja, siku yenyewe hasa nimeisahau,lakini ilikuwa Juni mwaka 1973, nilijikuta ndani ya lifti iliyojaa watu kwenye jengo la Bush House, katikati ya jiji la London...
5 Reactions
11 Replies
4K Views
SAFARI YA NYERERE SUMBAWANGA KAMA ALIVYONIHADITHIA ABDALLAH SAID KASSONGO 1987 TANU Youth League ya Tabora chini ya uongozi wa Abdallah Said Kassongo ilikuja kuwa tawi hodari sana na lenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Safe haven: Fatebenefratelli Hospital, Tiber Island, Rome, 2019. Hospitali ya Fatebenefratelli Hospital, iliyopo katika Kisiwa cha Tiber huko Roma, nchini Italia ilikuwa na Wodi maalumu iliyojawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KISA CHA VIDKUN QUISLING Naamini itawashangaza wengi nikiwaeleza kuwa jina la Jecha na jinsi Wazanzibari walivyoliingiza katika msamiati wao ni sawa na jina la Vidkun Quisling nalo pia...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
MOJA YA PICHA ADIMU YA CAPTAIN MALIK Picha hiyo hapo chini ni katika Khitma ya Saigon kushoto ni Boi Iddi maarufu kwa jina la Boi Wickens, Captain Malik, Emmanuel Albert Mbele na Khalid Abeid...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
CAPTAIN MALIK ENCYCLOPEDIA YA HISTORIA YA MPIRA WA TANZANIA Jina lake ni Captain Malik na Mji mzima wa Dar es Salaam ukimjua kwa majina yake haya mawili. Hii ilikuwa Encyclopedia ya historia ya...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Nilisoma primary mpaka Form Six inchini Uganda. Baada ya hapo mzee wangu amabaye alikuwa mwambata wa balozi kule Kampala nchini Uganda alirejeshwa makao makuu ya JWTZ ngome. So mimi naye na...
12 Reactions
106 Replies
21K Views
Nilikuwa Zanzibar siku ile ya kupiga kura tarehe 22 siku ya Jumapili Oktoba mwaka wa 1995. Mvua kubwa sana ilinyesha. Katika shajara yangu nimeandika mengi hadi majumuisho ya kura zote pamoja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MAULIDI YA MFUNGO SITA UCHAGGANI 1950s (KUTOKA KITABU CHA MAISHA YA RAJABU IBRAHIM KIRAMA) Maulid ya Mfungo Sita Moshi Uislamu ulipopata nguvu Machame na vijiji vingine Kilimanjaro kwa kuleta...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Je, wajua kua mwanasayansi nguli Isaac Newton aliwahi kua mbunge akiwakilisha mbungeni Kama muwakilishi wa chuo Kikuu cha Harvard? Basi ndo hivyo. Pia kipindi chake Cha ubunge hakuwahi kuchangia...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Isaac Newton: Isaac Newton (25 Desemba 1642 – 20 Machi 1727) alikuwa mwanahisabati, mwanafizikia na mwanateolojia kutoka nchi ya Uingereza. Anakumbukwa duniani kote kutokana na michango yake...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom