Nakumbuka: Benjamin William Mkapa

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,551
31,223
Picha hii nilimpiga Rais Mkapa siku alipozindua kitabu cha hotuba zake kilichochapwa na Mkuki na Nyota.

Nilijulishwa kwake na Bwana Walter Bgoya Mkurugenzi Mkuu wa Mkuki na Nyota tukapeana mikono.

Bwana Bgoya akamwambia Rais Mkapa, ''Huyu ndiye Mohamed Said aliyeandika kitabu cha Abdul Sykes.''

BENJAMIN MKAPA.jpg
 
Mzee Said huyo mtu mwache aende akahukumiwe kwa kadri ya matendo yake. Maana alichokifanya tunashukuru corona imemfyeka. Mwaka huu ndie alikuwa tegemeo la kulazimisha matokeo. COVID 19 haipo ila ina maksudi yake.
 
Wewe hutahukumiwa utaenda kukaa na Mungu kabisaa alipokaa
 
Sasa mbona picha yenyewe haipo...
28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
30 kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi
 
Maneno ya nani hayo ??
 
Back
Top Bottom