Je, wangapi wanafahamu historia ya Mansa Mussa mtu anayetajwa katika vitabu vya historia kuwa mtu tajiri zaidi duniani kuwahi kutokea.
Historia inasema alikuwa ni mfalme maarufu zaidi na...
KUTOKA ZIRPP: ABDALLAH KASSIM HANGA
Yaliyotokea kifo cha Abdallah Kassim Hanga
Mohamed Said
Toleo la 405
13 May 2015
WAKATI Dk. Harith Ghassany anaandika kitabu chake, ''Kwaheri Ukoloni...
MATESO YA MASHEIKH WETU
Ananiambia, ‘’Nakwenda sijda natamani nilie kwenye sijda lakini nyoyo hizi ngumu zimekufa ganzi na pengine hata kuta zake zimesinyaa machozi ya wapi ndugu yangu...
VITA KATI YA WANGONI NA WAMATENGO (sehemu ya kwanza)
Kabila la Wamatengo ni Kabila la Asili, halijaundwa kwa kutokana na makabila mengi yaliyochanganyika kama ilivyokuwa kwa kabila la Wangoni...
BENJAMIN WILLIAM MKAPA MHARIRI WA ‘’UHURU’’ NA ‘’THE NATIONALIST’’ KATIKA MGOGORO WA EAST AFRICAN MUSLIM WELFARE SOCIETY (EAMWS) 1968
Katika utafiti wakati naandika historia ya TANU kupitia...
Hapa Tanzania kuna sehemu ukienda na ukapewa historia zake unaweza kubaki mdomo wazi, kwa kuwa ukiangalia mji huo kama hauendani na hiyo historia. Lakini kimsingi kuna miji hapa Tanzania kwa kweli...
Kevin Poulsen alizaliwa tarehe 30 mwezi Novemba mwaka wa 1965. Moja ya udukuzu wake muhimu ni udukuzi wa redio ya LA kwa jina la KIIS-FM.
Kwa kudukua nambari za simu za shirika hilo la redio...
Jonathan alizaliwa tarehe 12 mwezi Desemba mwaka wa 1983.
Alipata umaarufu alipohukumiwa kifungo akiwa na umri wa miaka 16 [emoji16]kwa makosa ya udukuzi aliyofanya akiwa na umri wa miaka 15...
MFAHAMU DIKTETA WA MALAWI ALIYEPIGA MARUFUKU KUVAA SURUALI
Baba wa Taifa la Malawi, Dikteta Hastings Kamuzu Banda aliingia Malawi mwaka 1958 akitokea Uingereza alikoenda kusoma tangu 1925...
SAFARI ya kumsaka Khadija binti Kamba, haikuwa nyepesi. Ilianza kwa kudadisi, kupiga simu na kuzunguka hapa na pale hadi kufika katika ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala...
Georgia, Marekani, hili ndilo tulio la kwanza kwa mtu aliyehukumiwa kifo kutoroka gerezani. Alitoroka siku moja kabla ya hukumu yake ya kifo. Bahati mbaya mtu huyo, alifariki kesho yake kwenye...
Siku njema ya kuzaliwa kwa Billclinton
SIJASOMA KITABU CHA MZEE MKAPA, ILA HILI SIDHANI KAMA HILI LIMEANDIKWA.
Twende pamoja kwa haya machache na mwisho uone mbwembwe za mwandishi wa habari huko...
THE butcher of uganda. brigadier isaac maliyamungu, chief of operations in the ugandan army, responsible for the brutal killings of thousands of ugandans during the 1971 to 1979 nightmare in the...
7SHEBE MOHAMED AWADH MZALENDO ALIYEHIFADHI HISTORIA YA TANU NA HISTORIA YA JULIUS KAMBARAGE NYERERE KWA JICHO LA CAMERA YAKE
Katika ukuta wa nyumba ya mama yangu mkubwa Bi. Mwanaisha bint Mohamed...
MZEE MOYO KATANGULIA KWENYE HAKI NA HAMZAH RIJAL
Anapotangulia mmoja kati yetu kwenye haki huzungumzwa marehemu kwa yale aliyoyafanya yakiwa ya kheri huzidi kupambwa, kuna wengine hufanya kila...
TUJIKUMBUSHE: SHEIKH ALI MUHSIN BARWANI MMOJA WA WAPIGANIA UHURU WA ZANZIBAR
Historia ni mwalimu tosha
Huwezi kuijua leo yako ikiwa huifahamu jana yako
Akudanganyae historia ya nchi yako
Ana lake...