makindaOG
Member
- Aug 15, 2020
- 11
- 14
Kevin Poulsen alizaliwa tarehe 30 mwezi Novemba mwaka wa 1965. Moja ya udukuzu wake muhimu ni udukuzi wa redio ya LA kwa jina la KIIS-FM.
Kwa kudukua nambari za simu za shirika hilo la redio Poulsen alijitangaza mshindi wa gari[emoji23] aina ya Porsche[emoji95] pamoja na zawadi zingine mbalimbabli[emoji41]
Poulsen alikamatwa alipojaribu kudukua mfumo wa Federal.[emoji188]
Je aliwahi kuadhibiwa?[emoji848]
Poulsen alihukumiwa kifungo cha miaka 5 pamoja na hukumu ya kutotumia kompyuta wala intaneti kwa kipindi cha miaka 3 baada ya kuachiliwa.