Tujikumbushe: Sheikh ali muhsin barwani mmoja wa wapigania uhuru wa zanzibar

Mohamed Said

Verified Member
Nov 2, 2008
14,066
2,000
TUJIKUMBUSHE: SHEIKH ALI MUHSIN BARWANI MMOJA WA WAPIGANIA UHURU WA ZANZIBAR

Historia ni mwalimu tosha
Huwezi kuijua leo yako ikiwa huifahamu jana yako
Akudanganyae historia ya nchi yako
Ana lake jambo afichalo.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa U Thant akisalimiana na Waziri
Mkuu wa Zanzibar Mohamed Shamte na Waziri wa Mambo ya Nchi za
Nje Ali Muhsin

Mtangazaji wa Azam TV Wasiwasi Mwabulambo akimhoji Mwandishi kuhusu historia ya Mapinduzi
ya Zanzibar


Meneja wa Radio Kheri Hassan Abdulla akimhoji Mwandishi​

Ingia hapo chini:
Mohamed Said: MAISHA YA SIASA YA SHEIKH ALI MUHSIN BARWANI (1919 - 2006) - KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
 

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,640
2,000
Inabidi Bakwata wakuajiri mzee wetu, unafanya kazi kubwa sana ya kuandika historia ya waislamu ila wao wanachukulia poa wanasahau kuwa hata Roma , Anglican na makanisa mengineyo makubwa yanamiliki vitengo maalum vya historia na propaganda.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom