Alifahamika kwa jina la MBOKOO!
Alikuwa kibaka mwenye miraba minne, Ambaye alikuwa kero kubwa kwa wakazi wa Kigamboni!
Taarifa za uhalifu wake ziliwahi kuwa kero zilivyoripotiwa kila siku kwa...
Alitawala Zulu Land kuanzia 1828, katika Ufalme wake alilishinda jeshi la Uingereza lilipovamia na kutaka kupora ardhi ya South Africa. Baada ya kushindwa jaribio la kwanza, Waingereza walirudi...
BURIANI RAFIKI YANGU WAZIRI ''MAESTRO'' ALLY
Hakika sisi ni wa Allah na kwake ni marejeo yetu.
Kifo hakizoeleki hata kidogo.
Nimepokea taarifa ya kifo cha rafiki yangu Waziri kwa mshtuko mkubwa...
Alibeba dhahabu kama thamani ya manunuzi ya bidhaa alizohitaji. Baadaea Mansah Musa alibeba dhahabu kwenda Hijja Makka.
Wazungu wakipogundua utajiri walivamia The Gold Coast of Africa.
MZEE RUKHSA SAFARI YA MAISHA YANGU
Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi.
Kilichonifanya...
Wanajamvi nahitaji msaada wa kufahamu historia ya mji wa Bagamoyo kaburi la Sharifa, kaburi la wapendanao, kaburi la Ally bwana Juma, kisima cha ajabu, msikiti wa Bagamoyo, jengo la makumbusho na...
Rangi ya ngozi ya Adam ilikuwa reddish-brown (kama mfinyanzi wa reddish-brown).
Rangi ya ngozi ya Ham ilikuwa ni nyeusi.
Rangi ya ngozi ya watoto wa Ham (Cush, Mizraim, Phut na Caanan) ilikuwa...
Hapo kale, palikuwa na shida ya bidhaa muhimu na adimu. Ilibidi bidhaa hizo ziwekewe mgao. Na zinapatikana kwa siku maalum... ukibahatisha.
Misamiati ya mikingamo, duka la kaya, mwendo wa...
UPANDE WA PILI WA HOTUBA YA MWALIMU YA KUAGA
Kiasi naogopa kufanya uchambuzi wa hii hotuba kwani kuna mambo nadhani Mwalimu Nyerere kasahau au hakupenda watu wayasikie.
Mwalimu hakupokelewa na...
Sadhu Amar Bharati wa India amenyoosha mkono wake wa kulia juu kwa miaka 47 bila ya kuushusha chini kama alama ya Utukufu wa Mungu wa kihindu ‘Shiva’
Mwaka 1973 aliamua kunyoosha mkono wake wa...
We must be really grateful for the "colorful past" technology that allowed us to recognize the face of the Ancient Egyptian pharaoh Ramses ||, also known as Ramses the Great, the third pharaoh of...
Huyu mtu nimeanza kumsikiliza majuzi hasa kupitia youtube. Nimegundua ni kati ya watu ambao walikuwa na ufahamu wa hali ya juu sana. Sasa najiuliza tu, kweli kifo chake japo kilikuwa ni ajali ya...
Baada ya kuona swali la JMushi ambalo ni kilio cha kusikia kuwa Babu yake Mangi Sina alikuwa msaliti, kauli ambayo JMushi anasema ilitolewa na John Mnyika, nimeonelea nifungue hii thread ili wenye...
During the construction of Uganda railway, The British imported about 7,500 skilled laborers from India and retained the services of about 20,000 unskilled laborers, made up of Indians and East...
ALI HASSAN MWINYI: MZEE RUKHSA SAFARI YA MAISHA YANGU
Bi Lucie wa Mkuki na Nyota Wachapaji wa kitabu hiki amenifahamisha kuwa mimi hapo dukani kwao ni mtu wa pili kununua kitabu hiki.
Mtu wa...
ABDUL SYKES WA LEO 2021 NDANI YA HISTORIA YA TANU 1954
Kuna video ya Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Kilumbe Shaban Ng'enda anamtaja Abdul Sykes kama Mzee Abdul.
Video hii nimerushiwa na watu wengi...
Watu walikuwa smart na wababe, mtu anayeogopwa na Rais na vyombo vyote vya dola huyo sio wa mchezomchezo. Umewahi kuwaza ni namna gani vitengo vya usalama vinamtambua mtu kwa kutumia alama za...
SIKU MWALIMU NYERERE ALIPOTOA HOTUBA YAKE YA KUWAAGA WATANZANIA YA NOVEMBA 5 MWAKA,1985 WAKATI ANASTAAFU URAIS KWA WAZEE WA DAR ES SALAAM.
‘"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.