NGOME NDOGO ALIYOJENGA HERMANN VON WISSMAN BAGAMOYO
Kiasi cha miaka 10 iliyopita nilifika kwenye hii ngome ndogo aliyojenga Hermann von Wissman wakati jeshi lake lenye askari wa Kinubi na Kizulu...
MTOTO WA GEREZANI ANAGOMBEA UBUNGE CANADA
Originally a native of Tanzania, I immigrated to Canada settling in Ottawa where I graduated from Ridgemont High School, followed by attending the SUNY...
OFISI YA EAST AFRICAN MUSLIM WELFARE SOCIETY (EAMWS) DAR ES SALAAM
Hilo jengo hapo chini ndipo ilipokuwa ofisi ya East African Muslim Welfare Society (EAMWS)kabla ya kupigwa marufuku na serikali...
Mwenye kufahamu vyema historia ya mwafrika mwenzetu anayetajwa kama mtumwa jeuri naomba atujuze hapa jamvini.
Nawasilisha.
=====
KUNTA KINTE NA SIMULIZI YA UTUMWA WAKE HUKO AMERIKA
KUNTA...
Mimi napenda kujua kwa mwenye habari zinazohusu kesi ya uhain ktk miaka ya tisini na kifo cha komando tamimu kilitoke vp mwenye kujua aniabarishe hapa jamvin
Wengi huita siku ya MaShambulio ya al-Qaida dhidi ya Marekani, Mashambulio ambayo yalichukua takribani uhai wa watu zaidi ya 3000.
Kulitokea mashambulio Manne ambayo yalitumia ndege Nne...
Ni vizuri viongozi wa Tanzania (na viongozi wa Afrika) wakayajua Majina haya Matakatifu ya kwenye Biblia: Adonai YAHWEH na Adonai Yahushua Masiha. Labda hii itawasaidia wawe viongozi bora.
Ni...
Mtaa wa Congo upo Kariakoo Jijini Dar es Salaam Mtaa huu umekuwa Maarufu sana kwa Wingi wa Watu toka Mwaka 1920 mpaka leo.
Je, UMAARUFU wa Mtaa huo ni NINI?
Kwanini Muda wote una Watu Wengi...
Hapo zamani, wafanyabiashara wengi walitokea na kutafuta masoko na fursa za kibiashara nje ya mipaka ya nchi yao. Moja kati ya safari ndefu ilikuwa ni ile ya kulizunguka bara la Africa ili kuweza...
DOME OKOCHI BUDOHI "MAU MAU" NDANI YA TANU?
Kadi ya TANU ya Dome Budohi ni no. 6.
Dome Budohi alikuwa Mluya kutoka Kenya lakini alikuwa mwanachama na kiongozi wa TAA na hivi ndivyo alivyoweza...
Leo asubuhi nimepata picha ya meli iliyokuwa ikijulikana kama ''Karanja,''
Meli hii ina historia ya pekee kwa vijana wengi wa Dar es Salaam ambao walikuwa wanawania kwenda Ugiriki kutafuta kazi...
Hebu wanaomshughulikia Mh. Mbowe kwa kumsababishia awe na hali ngumu ya kisiasa na kiuchumi waniambie ni Mzee gani alimpa mzee Nyerere makochi ya kukalia katika nyumba yake aliyopewa iliyopo...
SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA
Unajua kwa nini kadi ya TANU No. 3 ni ya Abdul Sykes, No. 2 ni ya Ally Sykes na No. 1 ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage...
Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar.
Huko walijenga konventi ya shirika lao ili...
Utajiri wa baharini:Dhahabu imejaa baharini kwa sababu ya kuzama kwa meli kadhaa za kale
Kuna mali ya thamani ya mamilioni ya dola inayoharibika katika bahari mbali mbali duniani . Mali hiyo ni...
Moja ya stori zilizotokea miaka ya 2014-2015 ni ya kijana wa kiarabu raia wa Uingereza ambaye alikuja kuwa tishio la dunia baaada ya kujiunga na kikundi cha ugaidi kinachojulikana kama Islamic...
Wakuu wa jukwaa hili, sisi vijana wenu tunaomba mtujuze ni nini hasa kilijiri mpaka kukatokea vurugu kubwa hasa kule visiwani mwaka 2001 na kupelekea wengine kupoteza maisha!
Natanguliza shukrani...
"THE TORCH ON KILIMANJARO" KITABU CHA WATOTO KUHUSU HISTORIA YA BABA WA TAIFA
Miujiza ya Mwenyezi Mungu haiishi.
Maofisa kutoka CCM Dodoma walikuwa wamemaliza mazungumzo na mimi kuhusu mengi...
HISTORIA FUPI YA OFISI ZA AFRICAN ASSOCIATION (AA), TAA, TANU HADI CCM 1933 - 2021
Picha ya kwanza ni ofisi ya African Association (AA) siku ya ufunguzi wake mwaka wa 1933.
Hii picha ya ufunguzi...