Ni vizuri viongozi wa Tanzania (na Afrika) wakayajua majina Matakatifu ya kwenye Biblia: Adonai, YAHWEH, Adonai, Yahushua na Masiha

z12f

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
638
463
Ni vizuri viongozi wa Tanzania (na viongozi wa Afrika) wakayajua Majina haya Matakatifu ya kwenye Biblia: Adonai YAHWEH na Adonai Yahushua Masiha. Labda hii itawasaidia wawe viongozi bora.

Ni vizuri pia watambue majira na nyakati za Kibiblia.

In Daniel 8:13 - 14, Palmoni (The Wonderful Numberer) anamfafanulia Nabii Daniel kuhusu siri za baadhi ya majira na nyakati za kibiblia.

Palmoni (The Wonderful Numberer) ni moja wapo ya titles za Adonai Yahushua Masiha.

Huenda Afrika na Tanzania zina majira na nyakati zake.

Viongozi wakiyajua haya, huenda itawasaidia wawe viongozi bora.

Wananchi wakiyajua haya, huenda itawasaidia wawe wananchi bora.
 
Ni vizuri viongozi wa Tanzania (na viongozi wa Afrika) wakayajua Majina haya Matakatifu ya kwenye Biblia: Adonai YAHWEH na Adonai Yahushua Masiha.

Labda hii itawasaidia wawe viongozi bora.

Ni vizuri pia watambue majira na nyakati za kibiblia.

Acha kupotisha watu kwa ufinyu wako wa kujua Biblia. Unatafsiri vitu usivyo vielewa.
Kwani jina Mungu na jina Yesu hayatoshi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaaa ili waendeshe nchi kibiblia zaidi ama!?. nmejaribu kusom ila sioni pointi yako mkuu
 
Navuta picha huyu mleta uzi anaweza kuwa ni wale watumishi wa dress code ya suti over size, tai ndefu kama wauzaji vyombo vya promosheni mtaa kwa mtaa, kiatu mchongoko cha rangi black and white.

Hapo humwambii kitu Bible yake mkononi mixer vikashabrasha kadhaa mkononi na peni kama zote hivi kwa mfuko wa juu wa koti.

Watumishi wa namna hii hupendelea zaidi kuhubiri na kutangaza injili mahala panye mikusanyiko hasa stendi na kwenye mabasi wakiamini kuwa wanasikilizwa kumbe watu wako busy na harakati zao za maisha.

Hivi kiuhalisia kabisa wanashindwaje kuelewa kuwa kuna muda wa kazi, kupumzika na muda wa kusali/ibada.

Chakushangaza zaidi hawa watumishi wakimaliza kuhubiri tu hasa kwenye mabasi huanza kuomba sadaka kwa abiria.
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Huu uzi kwa asilimia mia umeandikwa kutokea Kawe -Tanganyika packers.
 
Ni vizuri viongozi wa Tanzania (na viongozi wa Afrika) wakayajua Majina haya Matakatifu ya kwenye Biblia: Adonai YAHWEH na Adonai Yahushua Masiha.

Labda hii itawasaidia wawe viongozi bora.

Ni vizuri pia watambue majira na nyakati za kibiblia.

In Daniel 8:13 - 14, Palmoni (The Wonderful Numberer) anamfafanulia Nabii Daniel kuhusu siri za baadhi ya majira na nyakati za kibiblia.

Palmoni (The Wonderful Numberer) ni moja wapo ya titles za Adonai Yahushua Masiha.

Huenda Afrika na Tanzania zina majira na nyakati zake.

Viongozi wakiyajua haya, huenda itawasaidia wawe viongozi bora.

Wananchi wakiyajua haya, huenda itawasaidia wawe wananchi bora.
Unafikir kila kiongozi ana amini huyo Mungu wako ?
 
Ni vizuri viongozi wa Tanzania (na viongozi wa Afrika) wakayajua Majina haya Matakatifu ya kwenye Biblia: Adonai YAHWEH na Adonai Yahushua Masiha. Labda hii itawasaidia wawe viongozi bora.

Ni vizuri pia watambue majira na nyakati za Kibiblia.

In Daniel 8:13 - 14, Palmoni (The Wonderful Numberer) anamfafanulia Nabii Daniel kuhusu siri za baadhi ya majira na nyakati za kibiblia.

Palmoni (The Wonderful Numberer) ni moja wapo ya titles za Adonai Yahushua Masiha.

Huenda Afrika na Tanzania zina majira na nyakati zake.

Viongozi wakiyajua haya, huenda itawasaidia wawe viongozi bora.

Wananchi wakiyajua haya, huenda itawasaidia wawe wananchi bora.
Ndugu uko serious unamanisha wakiyajua tu majina watakuwa viongozi bora au kuna kitu hukisemi?Hebu fafanu a kidogo?
 
Back
Top Bottom