Ikiwa ni siku kadhaa zimepita baada ya vyuo na taasisi(nacte) kuruhusu maombi ya udahili kwa mwaka 2017/2018,baadhi ya wanafunzi wanashindwa kuelewa mambo fulanifulani juu ya kozi ambazo...
Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mbeya (CHADEMA) anatarajiwa kutunukiwa shahada ya heshima ya Uzamivu na chuo kikuu cha TEOFILO KISANJI (TEKU) mjini Mbeya kwa jitihada zake za kuleta maendeleo...
Wakubwa nilkuwa naomba kwa anayefahamu lini form five second selection anisaidie kwa maana walitoa majina tu ya ambao watachaguliwa lakin shule hazijapangwa,
So nilikuwa naomba kufaham n lin...
Habari wadau wa Elimu Tanzania? Naomba kuuliza maombi ya mkopo kwa wanafunzi elimu ya juu yameshafunguliwa na HELB kwa mwaka huu 2017?
Asante, nawasilisha.
Wakuu habari...
Nipo hapa kuulizia kama hile bei elekezi ya ada ya maombi ya kujiunga na vyuo vikuu ya Shilingi 10000/= .,je ni kwa ajili ya wanao apply SHAHADA YA KWANZA TUU au...
Habari zenu wanajamii,
nipo online nafanya application katika Chuo Cha Mipango DODOMA lakin nimekwama jinsi ya ku-attach documents (birth sertificate, Olevel and A level sertificate) ili niende...
Wanajf
Naomba mnisaidie kujua ni vyuo vipi bora kwa elimu ya juu kati ya Uganda na Tanzania
Uganda kuna baadhi Kama :
1.makelele university (Govt)
2.international university of eastafrica...
Habari zenu wadau .....kuna kitu mwenzenu kinaniumiza kichwa sana katika kuomba vyuo Mara hii ndio maana nimeona nianzishe uzi huu tuweze kujadiliana..
Katika mchakato ambao Mara hii kila...
KUHUSU UTOAJI WA VYETI VYA WAHITIMU WA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KATIKA PROGRAMU ZA AFYA, MIFUGO NA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo...
habari ya wakati wana jamvi? kwa wale mliokuwa mnafuatilia somo langu nimerudi tena baada ya kimya kwa muda. Pitia somo na uache maoni yako hapa.
solution of learn trigonometry step by step...
Elimu si tu inatupa uelewa wa mapambano ya maisha yetu ya kila siku kimwili, lakini pia kiroho.
Katika page hii Sabbath vs Sunday utapata kujifunza mengi yenye kukupa uelewa si tu katika maisha...
Wakuu mimo binafs nashindwa kuelewa HV hawa bodi ya mikopo ni Lin watafungua mfumo wao coz au wanataka watuletee vigezo vingne vigumu vya kutupa mikopo?Waswahili wanasema kimya kina mshindo lkn...
Wakuu naomba kuuliza hivi ukitaka kujiunga na veta chang'ombe kwa course ndefu ya umeme ni lazima ufanye interview kwanza na hiyo interview inakuwa ni IPI yaan ya masomo gani naomba kujua wakuu...
Napenda kutumia nafasi hii kuwapongeza sana tume ya vyuo vikuu nchini (TCU), kwa huu mfumo mpya wa kuchagua vyuo waliouanzisha, ambapo mwanafunzi anatuma maombi moja kwa moja kwenye chuo...
Habari wakuu, naomba msaada nikitaka kuapply NACTE diploma, inaniambia matokeo ya form six hayako kwenye database
UPDATE: Nimefanikiwa baada ya kujaribu tena; nadhani servers zao zilikuwa na shida