Je maombi ya mkopo wa elimu ya juu yamefunguliwa 2017/2018?

KIBITI BOYZ

Member
Mar 31, 2017
14
32
Habari wadau wa Elimu Tanzania? Naomba kuuliza maombi ya mkopo kwa wanafunzi elimu ya juu yameshafunguliwa na HELB kwa mwaka huu 2017?
Asante, nawasilisha.
 
Habari ndugu watanzania...! Naomba kuuliza hivi bodi ya mikopo kwa wanafunzi kidato cha 6 mwaka huu yameshaanza???
Tupo vijijini hatui nini kinaendelea helb. Asante
 
HABARI NDUGU WATANZANIA...! NAOMBA KUULIZA HIVI BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI KIDATO CHA 6 MWAKA HUU YAMESHAANZA???
TUPO VIJIJINI HATUI NINI KINAENDELEA HELB. ASANTE
hujui kinachoendele kivip wakat access ya internet unayo, ni suala la kuingia katika website yao kuona kama wameshaweka tangazo!!!
 
hujui kinachoendele kivip wakat access ya internet unayo, ni suala la kuingia katika website yao kuona kama wameshaweka tangazo!!!

Hapa mkuu nimetoka tu maeneo hivi ndo nikasema ngoja niwaulize greater thinker nini kinaendelea hadi sasa maana maombi kwa kawaida huanza kufanyi wiki chache tu toka kidato cha sita wahitu na huwa haihusiani na matokeo ya kidato cha sita.
 
Naomba kuuliza bodi ya mikopo inaanza kupokea application za mikopo mwezi gani kwa applicants wa mwaka huu
 
Wakuu mwenye taarifa kama Application ya mkopo imeanza anifahamishe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Masomo mema ukifanikiwa na msome kweli ili mje kuisaidia nchi yetu kwani Wasomi tuliopo wa sasa tumeshindwa kabisa kuisukuma nchi na badala yake wote sasa tumekuwa ni ' Wabobezi ' tu Siasa na uanaharakati huku ' Wajanja ' wakicheza na rasilimali zetu kujinemeesha Wao na Mataifa yao ya huko Ng'ambo.
 
Back
Top Bottom