BODI YA MIKOPO NI JIPU LINALOSUBIRI KUTUMBULIWA

BODI YA MIKOPO NI JIPU LINALOSUBIRI KUTUMBULIWA

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Joined
Apr 13, 2016
Posts
128
Reaction score
98
Wakuu mimo binafs nashindwa kuelewa HV hawa bodi ya mikopo ni Lin watafungua mfumo wao coz au wanataka watuletee vigezo vingne vigumu vya kutupa mikopo?Waswahili wanasema kimya kina mshindo lkn kwa dalili zinavyoonekana inaonyesha ya kwamba hawa bodi ni watu Wa kujisahau sana mpaka JPM ATUMBUE MMOJA NDIPO wafungue mfumo wao.

Jaman tumechoka kukaa kitaan tukiwa na presha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!!mkuu,tupo kitaani sahivi,rais alisema wasomi waliopo Tanzania kwa sasa wametosha!!kilichobaki ni kujiongeza tu tusukume gurudumu la maisha!!mimi swez taka tena hzo stress!!!realy hectic n tiresome!!ngoja wadau waje tuwaskie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni bodi ya watu wazembe kabisa wa kufikiri!Hadi Leo kuna watu wengi wameajiriwa katika taasisi private wanatamba eti hawawezi kulipa mikopo yao!Wanaridhika kisa waliojitokeza kulipa ni wengi lakini hawajui kuwa si wote.Yaani ukiwapa kazi wakuu wa wilaya tu kazi inakuwa rahisi,lakini hapo kuna mijitu inasubiri kuweka masharti tu watu wasikope!Nina hamu sana watumbuliwe maana si kwa uzembe huu!Walitembea mikoani kukagua lakini ilikuwa gap la kula posho tu!Au mmepewa mrungula na hawa watu wa private?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom