Msaada jinsi ya ku-attach documents kwenye tovuti ya chuo cha mipango

Msaada jinsi ya ku-attach documents kwenye tovuti ya chuo cha mipango

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
887
Reaction score
1,596
Habari zenu wanajamii,

nipo online nafanya application katika Chuo Cha Mipango DODOMA lakin nimekwama jinsi ya ku-attach documents (birth sertificate, Olevel and A level sertificate) ili niende kwnye hatua inayofuata.

Nikiwapigia wahusika hawanijibu vizuri
Kma kuna yeyote anayefahamu anisaidie tafadhali
 
Hvyo vyeti ushavi scan....nakuwa pdf/doc format kama bado nenda stationary kavi scan kisha utaweza kuvi attach
 
Habari zenu wanajamii,
nipo online nafanya application katika Chuo Cha Mipango DODOMA lakin nimekwama jinsi ya ku-attach documents (birth sertificate, Olevel and A level sertificate) ili niende kwnye hatua inayofuata
Nikiwapigia wahusika hawanijibu vizuri
Kma kuna yeyote anayefahamu anisaidie tafadhali
Hicho Chuo mkuu kinatoa kozi zipi na zipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom