Kuhusu Ku apply vyuo....

Kuhusu Ku apply vyuo....

bab N

Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
75
Reaction score
35
Habari zenu wadau .....kuna kitu mwenzenu kinaniumiza kichwa sana katika kuomba vyuo Mara hii ndio maana nimeona nianzishe uzi huu tuweze kujadiliana..
Katika mchakato ambao Mara hii kila mwanafunzi ataomba chuo anachokitaka nadhani italeta challenges sana kwa wanafunzi wengi kukosa fani wanazohitaji lkn pia vyuo vingi visivyo maarufu kukosa wanafunzi...

Mfano ,tuchkulie chuo kikuu cha muhimbili assume admission capacity n kwa MD students n 180,so naamini wanafunz ambao wenye matokeo makubwa ya division 1 ,wataweza kuchaguliwa hapo ,lkn kwa upande wa pili wanafunzi hao hao wenye matokeo makubwa ambao wamechaguliwa muhimbili naamini hawajaishia kuomba muhimbili tu ،bali hao hao wameomba bugando ,wameomba UDOM etc...sasa ikitokea wanafunz mfno 50 WAMEPATA VYUO VI 4 tafauti kwa cozi moja ya MD maana yake Wamewakosesha nafac wenziwao ambao wangewaza kupata ,JEE KUTAKUA NA UTARATIBU GN KWA WANAFUNZ KU CONFIRM VYUO ,THEN WANAFUNZ WENGNE WAKAOMBA TNA AMBAPO STILL THE SAME RESULTS ITAJITOKEZA TNA KWA wanafunz wengne ,hali itakayopelekea usumbufu mkubwa kwa wanafunzi na vyuo husika...

Naombeni tujadiliane wadau wote ..ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutakuwa na muda wa kuconfirm kama utaenda chuo husika, ambapo unabidi uconfirm chuo kimoja tu ulichopata. Baada ya hapo kila chuo kitatoa second selection; kulingana na nafasi zilizobaki. Ni mfumo mbovu kidogo; lakini mwisho wa siku utafanya kazi tu
 
Kwa hiyo hawataishia 2, 3, 4 selection. Imagine the same situation itokee kwa bugando, wale walioachwa muhimbili wenye sifa wote waombe bugando, hii itajulikana baada ya bugando kufanya uchaguzi (ujue kila mmoja anaomba kivyake) baada ya hapo wataambiwa kairuki bado haijapata waombaji. TCU CAS ilikuwa ni dawa ya tatizo hili. Safari mtahangaika sana
 
Habari zenu wadau .....kuna kitu mwenzenu kinaniumiza kichwa sana katika kuomba vyuo Mara hii ndio maana nimeona nianzishe uzi huu tuweze kujadiliana..
Katika mchakato ambao Mara hii kila mwanafunzi ataomba chuo anachokitaka nadhani italeta challenges sana kwa wanafunzi wengi kukosa fani wanazohitaji lkn pia vyuo vingi visivyo maarufu kukosa wanafunzi...

Mfano ,tuchkulie chuo kikuu cha muhimbili assume admission capacity n kwa MD students n 180,so naamini wanafunz ambao wenye matokeo makubwa ya division 1 ,wataweza kuchaguliwa hapo ,lkn kwa upande wa pili wanafunzi hao hao wenye matokeo makubwa ambao wamechaguliwa muhimbili naamini hawajaishia kuomba muhimbili tu ،bali hao hao wameomba bugando ,wameomba UDOM etc...sasa ikitokea wanafunz mfno 50 WAMEPATA VYUO VI 4 tafauti kwa cozi moja ya MD maana yake Wamewakosesha nafac wenziwao ambao wangewaza kupata ,JEE KUTAKUA NA UTARATIBU GN KWA WANAFUNZ KU CONFIRM VYUO ,THEN WANAFUNZ WENGNE WAKAOMBA TNA AMBAPO STILL THE SAME RESULTS ITAJITOKEZA TNA KWA wanafunz wengne ,hali itakayopelekea usumbufu mkubwa kwa wanafunzi na vyuo husika...

Naombeni tujadiliane wadau wote ..ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi makini sana mkuu ila nafikiri watatoa first and second selection

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom