Msaada jinsi ya kuingia kwenye profile yangu UDSM

Msaada jinsi ya kuingia kwenye profile yangu UDSM

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Joined
Apr 13, 2016
Posts
128
Reaction score
98
Wakuu habari natumai mnaendeleza vema kauli mbiu yetu ya hapa kazi tu.Ndugu wadau naomben mnielekeze jinsi ya kuingia kwenye profile yangu ya UDSM.

MSAADA JAMAN NIPO CHAKA HUKU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom