Msaada namna ya kuapply vyuo vya engineering

Msaada namna ya kuapply vyuo vya engineering

medrickrobert

Member
Joined
Apr 25, 2017
Posts
58
Reaction score
9
Nimejaribu kuapply kupitia NACTE OAVS bt option ya vyuo naona ni vya afya na ualimu tu na hela nimetuma 20 msaada plz
 
Hapo umeshafail. Nacte wana wanadeal na Vyuo vya Health and allied science na Ualimu tu. Course the technologies kama DIT na ATC unaingia kwenye website husika ya chuo na kuna njia ya malipo ya admision huko. Mfano DIT unalipa CRDB na ATC unalipa NMB au Postal Bank
 
Duuh kwahyo mkuu kuna njia yoyote ya kurudisha hyo hela nifanye
 
Duuh kwahyo mkuu kuna njia yoyote ya kurudisha hyo hela nifanye

Hiyo ni Non-refundable fee so haujalishi kama umekosea au laah. So far unalipa 20 kama unataka Direct entry na pre entry. Kitu ambacho katika vyuo vingi pre entry ishapita so umelipa elfu kumi ya ziada zaidi, pole sana.
Jikaze ulipe tena uendelee na application zako
 
Km kuna option ya engineering tafadhali nielekezen wadau naipataje hapo
 
Back
Top Bottom