Ndugu walimu na jaiii,ni wakati muafaka wa kuvitambua na kufufua vituo hivi,kwa muda sasa serekali imeviacha bila kuviwezezesha,hapa ndio chimbuko la kuwaendeleza walimu na taaluma kwa jumla.nini...
Habari zenu wadau?
Kuna hatari nimeiona kwenye kujaza form za kuomba mkopo wa elimu ya juu mwaka huu.
Huu ni mwaka ambao wanafunzi wengi watakosea kujaza form za mkopo kuliko miaka yote...
Hello wana JF
Kama kuna mwalimu yeyote ambaye yupo Njombe na Makambako na hajapata ajira bado tangu 2015 Tafadhali tuwasiliane. 0625686556
Ni wakati wa kutumia elimu yetu kwenye Fursa ya elimu...
MAMBO 20 YALIYOTUSUMBUA SHULE ZA MSINGI.
1.Unaenda shule umechelewa unakuta mwalimu anakamata wachelewaj unaamua urudi nyumbani tu.
2.Unachukua kimbegu cha ubuyu unasugua sakafuni afu...
Wakuu habari
Nipo hapa kuulizia kwa mwenye kuifahamu ki undani course hii inayo tolewa katika chuo kikuu mzumbe , katika nyanja ya upatikanaji ajira zake na masuala...
Mimi ni mwalimu,hivi karibuni niliomba uhamisho ndani ya wilaya kwa kujigharamia mwenyewe ili nisogee karibu na familia yangu.
Cha ajabu nimekuja kujibiwa barua inasema yahusu kujibu barua yako...
Habari za jioni wadau.
Naomba kwa yeyote ambaye amefanikiwa kutuma maombi ya uhakiki rita na akajibiwa, tufahamishane hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
TANGAZO KWA UMMA
OR-TAMISEMI imetangaza majina ya wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano kwa awamu ya pili tarehe 23 Agosti, 2017. Wanafunzi hawa ni miongozi mwa wanafunzi 34,727 wakiwemo...
Naandika ili kama taasisi hizi wanapita hii forum wajue utata wanaosababisha - Rita, heslb pamoja na TCU.
Leo nimeenda kuhakiki cheti cha kuzaliwa binti yangu wilayani wakaniambia nikipeleke kule...
Mdogo wangu amechaguliwa shule hiyo chaguo la pili inaonekana iko Mwanza lakini siipati shule hiyo kwenye mkoa wa mwanza ninapoitafuta,ninashida na joining instruction ya shule hiyo ili...
Ndugu wana jukwaa poleni na shughuli za kulijenga taifa.
Niende moja kwa moja kwenye mada husika ,kwa ndugu Zangu wataaramu wa mitandao naomba kusaidiwa kuhusu njia au program maarumu ya kurudisha...
Wadau nimemuombea mdogo wangu chuo kikuu cha Bugando lakini nikawa sijakamilisha kitu kidigo sikumaliza, nikata kuendelea tena siku ya pili lakini cha kushangaza wiki ya pili hii system yao...
Serikali ya Tanzania imebuni njia mpya ya kufanya mtihani kwa kutumia penseli! wizara ya elimu imelazimisha wanafumzi wa darasa la saba kufanya mtihani wao utakaoanza tar6na 7 mwezi 9 kwa kutumia...
Habar wana jf kuna dogo kanitumia tokeo lake ana D nne za civcs,geography,engl,bios na C ya kiswas anataka nimshaur course ya kwenda kusomea kwa ngaz ya chet[emoji310] [emoji187]