Msaada wa kimawazo kuhusu course ya industrial engineering and management

Msaada wa kimawazo kuhusu course ya industrial engineering and management

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
5,194
Reaction score
6,528
Wakuu habari


Nipo hapa kuulizia kwa mwenye kuifahamu ki undani course hii inayo tolewa katika chuo kikuu mzumbe , katika nyanja ya upatikanaji ajira zake na masuala mengine yahusuyo kazi hii aweze japo kuchangia neno lolote lile mkuu maana ni course nyingineyo niliyo ijaza katika maombi ya elimu ya juu

Nina tanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Back
Top Bottom