lyalya
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 608
- 569
Ndugu wana jukwaa poleni na shughuli za kulijenga taifa.
Niende moja kwa moja kwenye mada husika ,kwa ndugu Zangu wataaramu wa mitandao naomba kusaidiwa kuhusu njia au program maarumu ya kurudisha message za Whats app ulizo futa ,maana kuna messege ya muhimu sana kwangu nimefuta kwenye simu yangu na bahati mbaya yangu sina uelewa sana na hii ishu.
Nitashukuru kwa msaada wenu.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app