Habari wakuu
Nahitaji kama kuna mwanafunzi anasoma chuo cha st john kwa course ya diploma ya maabara ,pharmacy,nursing
Naombeni nipate full detail juu ya hiki chuo msaada kwa hilo
Nisaidieni nataka ni apply dit Mimi grade zangu za form four phy-B chem-B bio-A math-C kisw-B eng-B civ-C hist-C geo-C nataka in some lab technology college sitaki ni pitie frm 5 naomba ushauri
Jaman Leo nimepigiwa simu na MTU akijitambulisha kuwa ni mfanyakazi Wa bodi eti Leo jumapili ndio wanagonga mihuri na kuzipitisha fomu za mkopo ila wamegundua kuna mapungufu sikuweka matokeo ya...
Habari wakuu
Nacte wameshanitema siwezi kuwalaumu kwa kuwa wamenipa sababu za kutosha na nimewaelewa ila nimeambiwa kuna second round japo sina tena imani nayo kama nitapita
Wakuu swali langu...
Habari zenu wakuu, naomba ushauri kuhusu koz ya kusoma, Nina Elimu ya kidato cha iv 2016 baada ya kutochaguliwa kwenda kidato cha V lkn bado Nina ndoto za kujiendeleza mpaka chuo kikuu.
Naomba...
Nina D ya phys D ya chemia, bios C, Engl C, maths F, Engl C, Kiswa D, na mengine yaliobaki D. Je ninaweza kuapply advance kwa masomo ya sayansi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahan wakuu naomba msaada kwa wenye ujuzi Mimi nimepata nafac ya chuo cha bulongwa na course ni dental therapy diplom sa najiuliza iko powa maana kunachuo kingine pia walinikubalia clinical...
Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha Ruaha. Na pia ni mdau wa maendeleo ya elimu nchini, hususan elimu ya juu.
Tukijua ya kwamba, wanachuo wengi ni vijana ambao...
Wakuu
Najaribu kulog in nacte lakini naambiwa username na password hazimatch
Nimejaribu kureset password nimeelekezwa niwape mpesa payment code iliyotumika kufanya application, hii ilishapotezwa...
Naomba kuuliza kati ya kozi ya nursing na kozi ya civil engineering ipi bora kwa soko la sasa katika ajira hapa Tanzania?
Naombeni msaada kwenu ipi ni bora natanguliza shukrani.
Wakuu natanguliza shukrani samahani doctors naomba nisaidieni kwa ushauri nikasome ipi kati ya diploma ya dental therapy na diploma ya clinical medine samahani kama nitakua nimeenda kinyume...
Za Weekend Wakuu,
Mimi ni Mzazi wa Mwanafunzi anaesoma Shule ya Sunrise iliyoko eneo la Mikocheni pale Morocco unaingia ilipo Hospital ya AAR jengo la tatu kutokea pale. Shule hii kawaida hua ina...
Poleni na majukumu wakuu:
Me Nimesoma arts secondry, sasa nataka nianze kusoma certificate mwaka huu kila nikifikilia course gani nikasomee Naambiwa kuna ugumu wa ajila, Asa KwA course za arts...
Nnashamba pwani hekari 2 nataka kulima pine plant (coniferophyta plant) kwa ajir ya uvunaji wa mbao je vipi hali ya hewa ya pwani(mkulanga kijiji cha jaribu)