Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Muda mfupi tu uliopita Uongozi wa Chuo Kikuu Kikongwe kabisa si tu Afrika ya Mashariki bali Afrika kabisa kama siyo duniani pia cha Makerere kimesema kwamba kimegundua kuwa 65% hadi 75% ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu habari. Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu kombi CBG nimepata D E E .. O level sikufanyia PHYSICS mtihani .., je kulingana na kutokuwa na physics O LEVEL je nitaweza...
1 Reactions
30 Replies
9K Views
Nina binti anayenisaidia kazi nyumbani ana umri wa miaka 30, ni mchapakazi Sana kazi za ndani hata za shamba yuko vizuri. Elimu yake ni kidato cha nne ila hakufanya vizuri ana D mbili alimaliza...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu... leo jioni nimepokea email kutaarifiwa kua nimechaguliwa kujiunga na COLLEGE OF AFRICAN WILDLIFE MANAGEMENT, MWEKA (CAWM) kwa kozi ya basic certificate in wildlife tourism. Naomba...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kampas ya dar iko maeneo gan ?? Kwa anayejua Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za muda huu, naomba kuuliza kuna mdg wangu jina lake lilitoka kwenye list ya wanafunzi watakao pangiwa kidato cha tano au chuo awamu ya pili, lakin second selection zimetoka hajapangiwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimemaliza digrii ya Habari yapata Mwaka sasa bila kiajiriwa (nafanya ujasiriamali). Kiu yangu ya kujiendeleza kielimu imenipelekea kuamsha dhamira ya kujiendeleza kielimu katika vyuo vya nje...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau naombeni msaada kuhusu hizi carrier mbili medicine au pharmacy ipi wewe utaiprefer, ipi ndo utamake more money regardless on the time you spent on working
2 Reactions
82 Replies
16K Views
Morogoro. Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), liko katika mkakati wa kuhakikisha shule zake zinakuwa kitovu cha masomo ya sayansi kwa kutumia vifaa vilivyopo maeneo ya kambi za jeshi hilo nchi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nachukua nafasi hii kuelezea wanajamvi masikitiko yangu juu ya kitendo chao cha kuchukua ada yangu ya 9000/= uhakiki wa vyeti bila kurudisha majibu. Mnamo tarehe 4 nilituma maombi ya kuhakiki...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mtoa matangazo ya biashara na mwanasiasa wanafanana katika jambo hili: Wote wanatafuta ku-hack mfumo wako wa kuwaza ili wapandikize software mpya itakayokufanya uwe unawaza kivingine kwa faida...
1 Reactions
0 Replies
906 Views
jaman nataka kusoma community health ya certificate je nikimaliza naweza kuendelea kwa kozi IPI yeye maslahi makubwa na kipaumbele zaid nisaidieni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ikiwa Somo la Siasa/Uraia linafundishwa tokea shule za msingi. Kwanini somo la ujasiriamali lisifundishwe mashuleni kumwandaa mwanafunzi na maarifa ya kujiajiri? Wadau toeni hoja
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salaam kwenu. Nilikuwa nahitaji kufahamu kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha mbeya(MUST),kwenye website ya chuo wameweka majina ya...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kwanza kabisa napenda kutanguliza salaam zangu kwenu wote, mimi nimemaliza bsc agricultural economics and agribusiness nataka kujua kuwa ni vigezo vipi ambavyo unatakiwa uwe navyo kwa mtu ambaye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello minatafuta shule ya wasichana tupu ya hapa dar yenye boarding ya dini ili mwanangu nimpeleke mwakani darasa la tatu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ukweli hiki chuo ni cha serikali kina matatizo mengi sana chuo hakika library ya kutosha wanafunzi wanatumia vitabu vya O-level and advance kujisomea wakati ni wanachuo wanaosoma shahada hivyo...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Wakuu... Nakumbuka siku ya kwanza naanza form one sikulala na nilivaa nguo za shule usiku huo huo?? Siku ya kwanza advance nakumbuka nilitoka bwenini na kwenda darasani nikiwa na begi na...
6 Reactions
34 Replies
8K Views
Je ? kwa mtu ambaye ameshaajiriwa inampa uhuru mpana wa kubadilishwa kazi ??? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Poleni Kwa uchovu wa mihangaiko, watu wangu kaka zangu na Dada zangu, Kwa wale tuliosoma O level shule za kata tukapambana mpaka tukafikia hapa tulipo najua tumepitia Magumu Sana na Haya elezeki...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Back
Top Bottom