Ingia ARIS UDSM kucheki matokeo ya supplementary

Ingia ARIS UDSM kucheki matokeo ya supplementary

PO DAX

Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
8
Reaction score
0
Kwa wale waliofanya supplementary exams..matokeo tayari kimbia ARIS haraka sana
 
Dah acha kutoa roho watu mkuu,... Iyo usisome mpaka urudi chuo,
 
sep 2012, 2013 na 2014 nilikuwa nasapua kila semista. jumla nililamba sap 6 na nikazichomoa fresh tu.

huwa nawaona wadau Wa sap wanacheka
 
Unazingua mdau mbona bado results waiting for supp
 
Back
Top Bottom