msaada wa haraka unahitajika, kasahau password account ya nacte

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,970
2,184
Wakuu
Najaribu kulog in nacte lakini naambiwa username na password hazimatch

Nimejaribu kureset password nimeelekezwa niwape mpesa payment code iliyotumika kufanya application, hii ilishapotezwa kwani sms ile ilifutwa
Nafanyaje kwa hili ili niweze kuangalia kama nimechaguliwa
 
msaada wenu wadau
 

Attachments

  • Screenshot_2017-09-17-08-48-42.png
    Screenshot_2017-09-17-08-48-42.png
    20.2 KB · Views: 45
Km ulitumia simu kuapply kuptia app ya uc browser n rahsi sana Kuzipata ila vngnevyo sjui utafanya nn labda upge simu Nacte kwa msaada zaid
 
password iliyotumika nacte ndio hiyo hiyo iliyotumika kufungulia email
Hii taarifa, bold, sio sahihi.
NACTE walikupa password pindi ulipojisajiri.
- a] Ulitumiwa password katika email yako
- b] Pia walikutumia sms ikiwa na hiyo password. - Kama hukupokea sms hii, basi angalia kwenye email yako.

Si mara zote email za nacte zinaingia kwenye INBOX folder, ZIngine huingia kwenye JUNK / SPAM folder - hivyo hakikisha unaangalie sehemu zote , na utaiona password yako uliyotumiwa na nacte.

Iwapo umeifuta ile email uliyotumiwa, omba usaidiwe jinsi ya ku_recover deleted emails.

KARIBU
 
Back
Top Bottom