Naomba muongozo wa hii kozi ya Community health

Vuitton

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
351
329
Poleni na majukumu wakuu:
Me Nimesoma arts secondry, sasa nataka nianze kusoma certificate mwaka huu kila nikifikilia course gani nikasomee Naambiwa kuna ugumu wa ajila, Asa KwA course za arts sasa nimesikia hii course yA community health nataka nijue Kama nikisomea naweza kuendelea na course nyingine za afya ? Kama Haiwezekani naweza kuendelea nayo mpaka degree na uwezekano wa kuajiliwa Upo? Msaada tafadhali au Kama kuna course nyingine nzuri nisaidieni kunishauri
Kisw C
English C
Bio D
Civ C
Geo D
Hist D
Math F
 
Ili usome community healthy lazima ufaulu at least chemistry, biology na maths sasa kwa matokeo yako hayo itakuwa ngumu kupata course hiyo
 
community health batch one ndo walichukuliwa na wana art ila kwasasa wanaart hawachukuliwi kutokana na competence iliyopo..
ila jaribu unaweza ukafanikisha labda
 
Sawa
 
wakuu em niulize kidogo... hivi mnaposema ufaulu mnamaanisha daraja lianzie "C" au hata "D" ni ufaulu...!
 
Ili usome community healthy lazima ufaulu at least chemistry, biology na maths sasa kwa matokeo yako hayo itakuwa ngumu kupata course hiyo
Mkuu Mbona wanachukua Adi Watu wa art
 
Ufaulu wa D huwa ni siasa tu kwani ukiangalia maelezo ya ufaulu nyuma d huwa wameandika dhaifu huo ndio ukweli na ukitaka kwenda advance huwa wanataka angalau c kwa kila kombi
 
Kwaiyo kipi bola kwenda uko advance au certificate ya community health?
 
Piga advance tu
Hahaha
Unataka yamtokee Kama ilivyokutokea ww?
Mara nyingi kwenye swali la nn usome unaangalia opportunities juu ya fani husika, nimemshauri kulingana na hayo masomo yake aingie hiyo kada ya afya itamsaidia mbale ya safari
Atajutia hapo mbeleni Kama wewe unavyolialia na unawaza kurudi nyuma ukaitafute diploma ya afya wakati una degree
Usishauri wenzio kilichokutokea nao waingie uko uko
Maana automatically huyu combination zake ni arts
Ambao Kwa miaka hii walimu tu wa arts wanaambiwa nafasi zimejaa
 
community health batch one ndo walichukuliwa na wana art ila kwasasa wanaart hawachukuliwi kutokana na competence iliyopo..
ila jaribu unaweza ukafanikisha labda
Watu wa Art wengi wanasoma Biology... na ukicheck in vigezo vya community healtlh biology pass is compulsory.. Sasa kama umefaulu biology na una pass tatu za ziada kwann wasikuchukuwe...!
 
Achana Naye Huyo
Wewe angalia sifa zilizowekwa
Pale hawajasema wanataka wana sayansi au hawataki wana art
Vigezo ni angalau pass 4 kwa maana ya D likiwemo biology ambalo ni compulsory
Sasa mwingine anatoa Maelezo yake sijui katoa wapi
Mm kijana wangu nimemuombea na ni mwana art ila anayo sifa tajwa
Ntaleta mrejesho post zikitoka
Mnaacha kuomba according to qualifications zilizoweka mnaanza kupotosha watu,waogope kuomba wakati sifa wanazo eti mwana art asiombe hatopata coz kuna ushindani nani kasema community health inahitaji physics na chemistry? au linawachanganya neno health?
Hapa tupo kwa ajili ya kusaidiana na sio kukatishana tamaaa
Kumbukeni NACTE wametoa opportunity uchague vyuo vitano kwa hiyo achani uwoga
Nawasilisha ova
 
Tatizo watu wengine complication nyng zisizokuwa na maana yoyote
 
Community health ni uvuvuzela wa afya! Inahusiana na kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa afya hasa kinga ya afya kama chanjo, usafi na jinsi ya kujikinga na magonjwa ya mlipuko! Haihitaji sayansi kivile!
 
Una maanisha haina maana kabisa?
 
Back
Top Bottom