Bachelor of science and consumer studies

Pijjo

Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
9
Reaction score
0
Mwenye uelewa/ujuzi na kozi tajwa hapo juu naomba anisaidie tafadhali, jinsi ilivyo na upana wake kwenye soko la ajira/kujiajiri.
 
Bachelor of science in family and consumer studies
 
Acha kumdanganya mwenzio!
Haina future hiyo.
Plz soma course ambayo ajira zake zinatangazwa mara kwa mara.
E.g. Bachelor of
A) Economics
B)finance,
C) Planning,
 
Back
Top Bottom