Ninaweza kuwa mwanadiplomasia ikiwa nina elimu ya kidato cha nne ya point 29, mchepuo wa Arts?

olonzo

Member
Sep 30, 2017
18
6
Wakuu mimi naipenda sana demokrasia, pia napenda niwe mwanadiplomasia elimu yangu ni kidato cha 4 point 29 arts. Nipo Tabora nimejishikiza sehemu napata hela ya kula na maisha yanasonga.

Naamin humu ndani kuna watu wanaulewa na elimu zaidi yangu. Je, kwa mazingira niliyopo na elimu yangu ninaweza kusoma na kuwa mwanadiplomasia?

Naomben ushauri.
 
Wakuu mm naipenda sana democrasia pia napenda niwe mwanadipromasia Erim yang ni kidato cha 4 point 29 arts .pia nipo Tabora nimejishikisha sehem napata era ya kula maisha yanasonga,naamin hum ndan kuna watu wanaulewa na erim zaid yang,je kwa mazingira niliopo na erim yang naweza soma hyo issue,naomben ushaur.
Jiunge na Chama Cha Mapinduzi ... kule utakutana na wenzio kina Lusinde, Prof. Maji Marefu na Bashite wa Kolomije.
 
Back
Top Bottom