Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Kwa wale ambao tayari mmehitimu katia shahada ya Bsc in ICT Mediated content development tunaomba mtupe fununu ya fursa za ajira kwa wahitimu katika fani hii maana sisi huku tunakomaa nayo.
Tunaomba mtupe ndondo ili tujiandae kisaikolojia
Karibu sana kwa mjadala
Tunaomba mtupe ndondo ili tujiandae kisaikolojia
Karibu sana kwa mjadala