Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kama uzi unavyo jieleza hapo juu. Ni masikitiko yangu (huu sasa ni mwaka wa pili) pamoja wa wazazi wengine. Kumekuwa/Umeibuka mtindo ama utaratibu kutoka Wizara inayohusika na mambo ya Taaluma...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Je ukishamaliza diploma ya physiotherapy, unaweza kwenda kusoma md!?
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Naomba kuuliza kwa tuliyopata mkopo kupitia rufaaa , Je kuna mtu anayejua mpaka sasa amepata asilimia ngapi ya mkopo ? , maana mpaka sasa kwenye account hawajaweka break down na chuoni kwetu hapa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello guys Ingawa wengi wanaponda elimu yetu ya kibongo kuwa ipo theoretical tu, lkn mm naona mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, mitihani ya necta ipo kwenye standard hlf wanasahihisha kwa haki...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wadau napenda kujua ni vyuo gani unaweza kujiunga kusoma bachelor ya uhasibu kwa kutumia qualification za diploma in education(phy &math)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rungwe secondari,sitaisahau maana kwa hali ya hewa,miundombinu na shughuli za ujasiriamali kama,bustan,mabwawa ya samaki,mashamba ya migomba nguruwe na mchakamchaka vilikuwa vinanifanya nijisikie...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za mapumzuko wanajua wa jf? Naombeni mwenye taarifa kuhusu masters of Business Administration au project management zinazotolewa na Chuo kikuu Huria Tanzania kua zinaanza mwezi wa ngapi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nazani mko njema katika mihangaiko ya kimaisha ikiwa ni pamoja na vyuma kukaza. Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kuomba msaada wa mambo ya research. Mimi ni third year hapa UDSM so...
4 Reactions
44 Replies
8K Views
Wadau habari zenu? Mwalimu akiomba ruhusa kwenda masomoni akanyimwa akaamua kujiruhusu akaenda masomoni akirudi atakuwa amesimamishiwa mshahara je inawezekana akarudishwa tena kazini na kuanza...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Nipo mwaka wa tatu naenda wanne lakini sijui chochote kile ninachokisomea yani mi ni mtu wa kukariri kwa kwenda mbele pepa ikiisha nasahau vyote. Na semester ikiisha ndo kabisa nasahau kabisa...
13 Reactions
100 Replies
11K Views
Jamani nina shida na past papers za mathematics (o level ) na solution zake please mwenye nazo jamani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hakika Uongozi wa Chuo cha usimamizi wa Fedha (IFM) umekuwa unawasumbua wahitimu kupata Vyeti vyeo. Usumbufu umekuwa Mkubwa na sababu wanayotoa kila ukifuatili ni System inasumbua. Najiuliza...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
O level haikua hivi, Maisha tulioish O-Level na rafiki yangu yalibadilika kabisa advance , kila mtu alijifanya mchungaji, sheikh, muumin wa kweli. Nilidhani ni shule yangu tu ila nikajaona maeneo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habarini za leo, Natumai mko poa na siku inaenda vizuri. Mimi ni mdau mzuri tu wa jukwaa hili na mara nyingi huwa napitia hapa kujifunza baadhi ya mambo. Leo nimekuja na hitaji langu kama kichwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima kwenu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ningependa kupata mwanga kuhusu nafasi za masomo na udhamini hasa kwenye ngazi ya Phd kwenye vyuo vikuu vya nchini Canada. Kwa yeyote mwenye...
0 Reactions
4 Replies
926 Views
Kulingana na international zigzag line yako maeneo ambayo huwahi kuzifikia siku na maeneo megine huchelewa. Je kuna maeneo ambayo mpaka sasa yamefikia siku ya krisimasi na mwaka mpya?
0 Reactions
2 Replies
956 Views
hello good people naomba mwenye kujua link/website yeyote ambayo naweza download vitabu mbalimbali vya college department ya community development anisaidie
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Hello! Ukitazama wahitimu wa ngazi mbalimbali wanavyohangaika kujaza mafomu marefu marefu ili kuomba mkopo wa HESLB, unaishia kuona tu huruma. Ukweli ni kuwa vigezo na masharti magumu yalowekwa...
6 Reactions
48 Replies
7K Views
Hi guys! Mimi ninekuwa nikitamani siku nyingi sana kusoma nje ya nchi Masters degree ila kuna suala linanitatiza sana kuhusu IELTS (International English Language Testing System) sijajua naweza...
4 Reactions
96 Replies
17K Views
Et rafiki zangu Kati ya kozi tajwa hapo juu niipi the best pia ni marketable[emoji41] [emoji41] [emoji41]
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…