Vyuo gani naweza kusoma uhasibu kwa kutumia diploma qualifications?

Ilambo

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
475
88
Habari wadau napenda kujua ni vyuo gani unaweza kujiunga kusoma bachelor ya uhasibu kwa kutumia qualification za diploma in education(phy &math)
 
Habr wadau napenda kujua,in vyuo gani unaweza kujiunga kusoma bachelor ya uhasibu kwa kutumia qualification za dip in education(phy &math)
Nenda kwenye chuo unachopenda ujiunge nacho..ulizia entry qualifications zao ni zipi, uliza pia kama alternative qualifications kama diploma yako hiyo inatambulika. Jiongeze...hangaika mwenyewe..!!
 
Back
Top Bottom